Casino Special Thread

Dr santos

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
251
Reaction score
571
Points
0
Je una maujanja yoyote kuhusu kamari za casino? Weka hapa Ndo mahala pake

Kuna muda tunahitaji hupunguza stress baada ya mihangaiko ikiwemo kwenda casino. Nikizungumzia casino Kuna mambo mengi sana, bitches kamari pombe anasa na ushetani wa Kila aina
Hapo kwenye kamari ndo NAkazia zaidi kwani inaweza kua salama kwako pindi ukienda kucheza kamari.
Principle s ni mbili tu
"ALWAYS THE HOUSE WINS".
"BET WHAT YOU AFFORD TO LOSE".

1. Unatakiwa kujua Kwamba servers za casino ziko programed wewe uliwe na sio ule hio ni kwa faida ya casino (the house)

2. Usiwe na wenge stake kiasi ambacho hakitakuumiza sana. Usicheze table ya lakin tano wakati uwezo wako ni elf kumi maana kule Kuna watu wanajoin table za milioni mpaka tano.
Kuna casino daslam liko posta magogoni ukiwa unaenda kivukoni au mnazi mmoja.
Baadhi ya michezo rahisi kwa beginners ni
1.roulette
2. Black jack
3.poker
4.bacarat
5.slot (hapa usiguse ni kama dubwi)
 

Attachments

  • download (4).jpeg
    download (4).jpeg
    12.1 KB · Views: 0
  • download (3).jpeg
    download (3).jpeg
    12.4 KB · Views: 0
  • Casino-Games.jpg
    Casino-Games.jpg
    63.7 KB · Views: 0
  • download (2).jpeg
    download (2).jpeg
    16.3 KB · Views: 0

Similar threads

Have you never read this novel? Okay get in touch and discuss here
Replies
0
Views
326
Shalom wakuu Pamoja na kua serious na maisha mwili unahitaji ku refresh na refreshments moja wapo ni kucheza games. Hua nahakikisha PC yangu haikosi magemu haya japo ni ya zamani 1. GTA vice city 2.gta San Andreas 3.project IGI cover strike 4.project igi i am going in (the mark) 5.delta force...
Replies
7
Views
722
  • Sticky
FC Barcelona Even before they changed the football landscape by inventing the tiki-taka style of play, FC Barcelona have been known for their likable and highly watchable brand of football that always seemed to produce results. During their long and immensely successful history, they have won...
Replies
10
Views
296
  • Sticky
From 1899 to the present: a history of triumphs and passion. This is AC Milan “We will be a team of devils. Our colours will be red like fire and black to invoke fear in our opponents!” These were the words that Herbert Kilpin used as he founded AC Milan on 16 December 1899. Just a year and a...
Replies
0
Views
109
  • Sticky
Ulianzishwa mwaka 1880 kama St Mark's (West Gorton), ikawa Ardwick Association Football Club mwaka wa 1887 na Manchester City mnamo mwaka wa 1894. Uwanja wa nyumbani wa klabu ni Manchester Stadium huko Mashariki mwa Manchester, ambalo lilihamia mwaka 2003, Maine Road tangu 1923. Manchester...
Replies
6
Views
337
Back
Top