- Jun 4, 2023
- 7,003
- 22,507
- 113
Kapoteza simu tupitishe mchango tumnunulie simu
Kapoteza simu tupitishe mchango tumnunulie simu
Mbona hakuniambia jamani... ngoja nijipige nimnunulie iPhone 15 promax, nitakupa umpelekeeKapoteza simu tupitishe mchango tumnunulie simu
Anakaaa uswahilini unataka wamuue?Mbona hakuniambia jamani... ngoja nijipige nimnunulie iPhone 15 promax, nitakupa umpelekee
Halafu inabidi nifanye mpango nimtafutie apartment kwakweliAnakaaa uswahilini unataka wamuue?![]()
acha kunitaja kwa mafumboinategemea sasa kila mtu na priorities zake.... ila mimi mkaka akiwa mrefu, mweusi na ndevu flani hivi sio nyingi hua namuona kwa namna ya pekee sana![]()
Hahahacha kunitaja kwa mafumbo
Kama ilivyoandikwa kwenye zaburi kuwa moyoni mwangu nitaliweka neno la Mungu ili nisikutende dhambiHakimu huna bahati, wote skuizi wana taka hivi
sawa ngoja nitume kalaki hapaUkinipa pesa tu nakuona wa juu![]()
sawa ngoja nitume kalaki hapa
Ndio mimi kabsaHahah,, kwamba hizo sifa zote ni zako sio
![]()
siri yanguMkuu ushatuma?
Basi vizuri kama ni hivyoNdio mimi kabsa
Acha hii vita ya Israel na Hamas iishe kwanza ili nianzishe vita ya mapendo kati yangu na wewe..Basi vizuri kama ni hivyo
SawasawaAcha hii vita ya Israel na Hamas iishe kwanza ili nianzishe vita ya mapendo kati yangu na wewe..
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.