Habari za humu

Karibu sana mgeni Kijiji
Huku ndani tunafurahia uwepo wako
Pia tunaomba udumishe amani iliyopo
 
Naombeni mnikaribishe.
Mimi mgeni humu
Karibu sana ila mimi nina huzuni sana , niliitwa na raisi huku kijijini kupitia kule kwa akina Mpyayungu nikaja nikachungulia nikasahau kujiregister kinachoniuma ni kuwa member wa hamsini na kitu wakati ilibidi niwe member namba tatu .

All in all karibu bwana , uzee mwisho jamiiforum huku wote vijana
 
Karibu sana ila mimi nina huzuni sana , niliitwa na raisi huku kijijini kupitia kule kwa akina Mpyayungu nikaja nikachungulia nikasahau kujiregister kinachoniuma ni kuwa member wa hamsini na kitu wakati ilibidi niwe member namba tatu .

All in all karibu bwana , uzee mwisho KijijiForums huku wote vijana
😀 huku kwa vijana kweli kweli karibu sana
 
Similar threads

habari zenu ndugu zangu nilipoteza simu toka week iliyopita,nikawaza kijiji itaendeleaje bila president sasa nimerudi mtandaoni tena
Replies
8
Views
400
Yani vijana humu mnacheza na president @Gily kama vile ni stick ya meno mdomoni Full utani na mamods Huko kwingine ni uadui tu Hii ndio maana hasa ya Kijiji Chezeni vizuri kuna meno 😁 All voice in the village matters
Replies
54
Views
1K
Back
Top