Humu uhuru umepitiliza mpaka mnamchezea simba sharubu

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Kipindi wao wanasindikizwa shule na mkate umejaa siagi ya chocolate sisi tulisindikizwa na teke
Wao basi la njano
Sisi viatu vya kanisani, mtoko ndivyo vya shule
Nimekulia maisha ya kibishi kinyama sijawahi kwenda shule na school bus

Uchungu wa maisha unafanya upambane hatari.
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Nimekulia maisha ya kibishi kinyama sijawahi kwenda shule na school bus

Uchungu wa maisha unafanya upambane hatari.
Wenye uchungu wa maisha umetoka shule unamia tu hiyohiyo unanunulia kitumbua kwa mama anayejikuna dadeki si njaa
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Like seriously siwazi kwa sababu sili mikachumbari na wala sili sehemu z ovyo ovyo na sijawah hata nunua vitumbua barabarani sijui mayai

kifupi sio mtu wa kula mababarani huko
Acha uongo...Umekula mihogo na juice ya miwa sana tu pale mwenge pembeni ya muuza mitumba🤣🤣🤣
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Acha uongo...Umekula mihogo na juice ya miwa sana tu pale mwenge pembeni ya muuza mitumba🤣🤣🤣
Form one nilikuw nakunyw zile juice za vi stand aisee ule uchafu dah acha tu

niliona jamaa anaonja kidole kisha anarudisha anakorog na kile kile kidole. Unafikiri ustaarabu wa kutokula ovyo ulianzia wap.
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Form one nilikuw nakunyw zile juice za vi stand aisee ule uchafu dah acha tu

niliona jamaa anaonja kidole kisha anarudisha anakorog na kile kile kidole. Unafikiri ustaarabu wa kutokula ovyo ulianzia wap.
Hahahahaaa bora mimi nilikua naingia stendi upande wa vidaladala(vipanya) vya T/mikoroshini- mwenge pale kulikua na banda la chips kipindi hicho chips kavu mia 600 unawekewa mzigo wa kutosha🤣🤣🤣
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Hahahahaaa bora mimi nilikua naingia stendi upande wa vidaladala(vipanya) vya T/mikoroshini- mwenge pale kulikua na banda la chips kipindi hicho chips kavu mia 600 unawekewa mzigo wa kutosha🤣🤣🤣
Unakula kiepe mda wa kwenda nyumbani na chakula kinakusubiri nyumbani

Stand ilikuwa ya zamani. Dah hawa mdogo hawawezi elewa kabisa tuna umri
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Unakula kiepe mda wa kwenda nyumbani na chakula kinakusubiri nyumbani

Stand ilikuwa ya zamani. Dah hawa mdogo hawawezi elewa kabisa tuna umri
Home nilikua nakwepa ugali ndio maana...

Madogo wajuzi kabisa hao hata hiyo stand ya mwenge hawajui ilikuaje zamani...🤣🤣🤣
 
Similar threads

habari zenu ndugu zangu nilipoteza simu toka week iliyopita,nikawaza kijiji itaendeleaje bila president sasa nimerudi mtandaoni tena
Replies
8
Views
400
Naombeni mnikaribishe. Mimi mgeni humu
Replies
22
Views
535

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom