Idadi ya watu uliofanya nao sex

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,019
22,617
113
Ile siku itakua si ndogo, ukipewa kitabu unakuta kimeandikwa mpk tarehe flani ulisema kule kijijin umeshakua na watu 200 sasa ngoja nikuoneshe baada ya pale idadi inakua hii unabaki unatoa macho tuu😂😂😂

Utani pembeni ni vzuri tukawa makini na tunayoyaandika
ahah unataka kutuaminisha you have been with only one man?

Kishaandikwa kitambo hata kama hujaandika hapa. Cha msingi ni kutubu hunu ndani Kijiji twende mbinguni.

Ingekuwa poa hii site ikaotwa peponi😬
 

Similar threads

Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema. Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA kwa watoto wao imeongezeka kwa asilimia 70. "Hivi majuzi, idadi ya watu wanaoomba huduma za DNA...
Replies
11
Views
1K
Wakuu kwema? Binafsi yangu kuwaeleza watu kuhusu mipango yangu naona sio sawa maana watu niwajuaji sana wanaweza wakaanza kukushauri negatively au kukukatisha tama...
Replies
13
Views
755
Juzi nlikua naelekea Namanga kwenye shughuli za hapa na pale, nlipanda noah maana ndio usafiri wa huku. Sasa kilicho nishangaza nikwamba jamaa(dereva) kwanzia tumetoka Arusha hadi tunafika Namanga alikua ameweka wimbo mmoja yani hakuubadilisha.. mimi nmezoea nkipandaga nakuta ninyimbo za...
Replies
5
Views
485
Nakusalimu mwanaKF, ninafurahi kwakua umeamua kusoma bandiko hili... karibu sana, najua utapata kitu... Luka 17:11-14 Yesu alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya. Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye...
Replies
3
Views
254
Nigudi ee? Niko gudi piaa. Umeshawai kujiuliza familia ya baba mama na watoto inaweza kuishije ndani ya chumba kimoja? Baba na mama huwa wanafanyaje mambo ya faragha katika chumba kimoja na watoto hata kama wamelala? Hapo nimezungumza tu kuhusu family members bado vyombo, kitanda, makochi...
Replies
14
Views
406
Top Bottom