Jamaa wamenipiga BAN

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Leo tumepigwa wengi yaani ukitamka neno kijiji imekula kwako .

Kwa mara ya kwanza nimekula ban pia kosa kusema neno kijiji
Mzee unajua mwafrika ni mtu mjinga sana..Kuna Facebook, Tik Tok, Twitter na site kibao kila site na watu wake

Huu ni upuuzi kuwapiga ban watu bila sababu. .
 

Similar threads

Amani iwe nanyi wanakijiji Kuna video naona imetrend ya mwanaume ameoa wake watatu kwa wakati mmoja. Nimeshangazwa kuona tu upokeaji wa swala hili kwa watu umekua wa ajabu sana. Kweli jambo hili si mara nyingi kutokea lakini tukilitizama kwa mtizamo chanya mwanaume huyu kawastiri wanawake...
Replies
33
Views
719

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom