Je ni kweli mji wa shinyanga usafiri wake mkuu ni baiskeli?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,118
113
"
Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli?
Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'.
Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa Shinyanga uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo

"
Habari hiyo nimeiona huko bbc hebu tujadili tupate mwanga toka kwa watu ambao wametembea sana mkoani humo
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,020
22,618
113
Kuna siku nilienda Lunguza huko mkoani Tanga

Safari toka Dar mpaka Lushoto

Kufika Lushoto masaa matano ufike Lunguza

Tukashuka tukapanda bodaboda

Tukashuka sehemu ambayo boda Haziendi tukapanda baiskeli

Na bado tukatembea na miguu kuelekea hapo tunapoenda kulipa mahari

Cha ajabu huko wanawake wanavaa kaniki tukifuani sikuona dera wala nguo za kushona

Magufuli alifanya sahihi kujenga barabara na madaraja kuunganisha Tanzania 🇹🇿

Naipenda sana nchi Yangu. .
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,875
3,962
113
"
Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli?
Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'.
Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa Shinyanga uliopo Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo

"
Habari hiyo nimeiona huko bbc hebu tujadili tupate mwanga toka kwa watu ambao wametembea sana mkoani humo
baiskel ziko nyingi shinyanga, hadi wamama wanaendesha vizur tu, nilishanga sana, ila sikuzipanda kwakua bodaboda zilikua...
 
Urban Edmund

New member
Platinum Villager
Jun 26, 2023
636
1,320
0
Kuna siku nilienda Lunguza huko mkoani Tanga

Safari toka Dar mpaka Lushoto

Kufika Lushoto masaa matano ufike Lunguza

Tukashuka tukapanda bodaboda

Tukashuka sehemu ambayo boda Haziendi tukapanda baiskeli

Na bado tukatembea na miguu kuelekea hapo tunapoenda kulipa mahari

Cha ajabu huko wanawake wanavaa kaniki tukifuani sikuona dera wala nguo za kushona

Magufuli alifanya sahihi kujenga barabara na madaraja kuunganisha Tanzania 🇹🇿

Naipenda sana nchi Yangu. .
ebana eeh ndo chaka za kwenda kuoa huko
 
Similar threads

Heri ya mwaka mpya 2024 Villagers... Nipo kitandani tangu juzi mwili umepata hitilafu za kiafya kidogo ndo nipo naupambania hapa, hopefully ntakuwa sawa ASAP! Straight to the point, hii forum forum yetu bafo inajitafuta lakini binafsi mimi ishanitendea makuu mno 🤣🤣🤣. Sijawahi juta kuwa...
Replies
22
Views
725
  • Article
MWANZO Huu ni mkasa wangu ulionikuta baada ya kuhamishwa kutoka kigoma to dar es salaam early 2004s Baada ya kumaliza kazi zangu za kila siku ni kawaida yangu kutembelea kijiwe kwaajili ya kupata mawili matatu kutoka kwa watu mbalimbali wa rika tofauti lengo ni kutokua mpweke pia ku refresh...
Replies
60
Views
2K
habari zenu ndugu zangu nilipoteza simu toka week iliyopita,nikawaza kijiji itaendeleaje bila president sasa nimerudi mtandaoni tena
Replies
8
Views
399
Je ni kweli Paka/nyau anayo roho saba? Watu wengi wamekua wakisema kuwa paka wanaroho saba na hata kufa kwao nikwambine sanaa... Umesha sikia kauli "unaroho ngumu kama ya paka" Kuna siri gani kuhusiana na paka, maana nmeshasikia stori nyingi kama paka alizikwa akiwa hai baada ya mda akaonekana...
Replies
20
Views
915
1. Marafiki wazuri hujadili MAWAZO, si watu wengine. 2. Marafiki wazuri hupata FURAHA unapofanikiwa. 3. Marafiki wazuri hutafuta KUTOA, sio tu kuchukua kutoka kwako. 4. Marafiki wazuri WANAKULINDA wewe/ na wadhifa wako. Wewe nirafiki wa aina gani?
Replies
12
Views
302
Top Bottom