Je Ni sahihi mwanaume kupiga magoti pindi anapomvalisha Pete mpenzi wake?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Wanawake wa jamii ya Buganda, wasukuma na kutoka nyanda za juu kusini mwa Tanzania huwa wana utaratibu wa kupiga magoti wakati wanapoandalia wanaume chakula na wanaposalimia.

Tunaona wanaume kutoka Tanga, Zanzibar na Pwani wakienda sokoni na vikapu kununua mahitaji ya nyumbani

Kumekuwa na ubishani mkubwa katika Mambo mbali mbali yanayopaswa kufanywa na mwanaume na mwanamke. Je ni sahihi kwa tamaduni zote hizi za Kiafrica mwanaume kumpigia magoti mwanamke?

lady4.jpgScreenshot_20230715_100539_Google.jpg
 

Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Wanawake wa jamii ya Buganda, wasukuma na kutoka nyanda za juu kusini mwa Tanzania huwa wana utaratibu wa kupiga magoti wakati wanapoandalia wanaume chakula na wanaposalimia.

Tunaona wanaume kutoka Tanga, Zanzibar na Pwani wakienda sokoni na vikapu kununua mahitaji ya nyumbani

Kumekuwa na ubishani mkubwa katika Mambo mbali mbali yanayopaswa kufanywa na mwanaume na mwanamke. Je ni sahihi kwa tamaduni zote hizi za Kiafrica mwanaume kumpigia magoti mwanamke?

View attachment 864View attachment 865
Sio sahihi
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
hapana, yaani kila kitu mwanaume? uanze kumtongoza mpaka akubali, umtumie na yakutolea, umtolee mahari, umfikishe kileleni mwamlima klm, na kupiga goti wakati wapete! hapana
 

Similar threads

Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
  • Question Question
Kumekuwa na tetesi kuwa kutajiri mtoto wa kiume katika umri mdogo humfanya awe na kibamia. Uchagani ilikuwa kijana lazima atimize umri wa kuoa kwanza ndipo anafanyiwa tohara. Wakati anafanyiwa jando mkewe mtarajiwa anakuwa chumba cha pili anasikiliza kama mumewe mtarajiwa atapiga kelele au...
Replies
12
Views
658
  • Question Question
Je niumri gani sahihi kufanya maendeleo?
Replies
14
Views
294
Wakubwa shkamooni! Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani... Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa? Kwa sisi men tuko vizuri mno...
Replies
33
Views
714
Nawasalimu wakuu Swala la mahari limekua kipengele sana kwa vijana siku hizi wanalalamika kuwa kiasi ni kikubwa, wengine wanaona nikama imekua biashara yaani watoto wakike wamekua mtaji kwa wazazi wao... Ninacho taka kuuliza Ni sawa mwanaume kusaidiwa kutoa mahari na mpenzi wako wa kike? Je...
Replies
60
Views
542

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom