Mwanaume kusaidiwa kulipa mahari ni sawa?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Dr santos

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
251
Reaction score
571
Points
0
Nawasalimu wakuu

Swala la mahari limekua kipengele sana kwa vijana siku hizi wanalalamika kuwa kiasi ni kikubwa, wengine wanaona nikama imekua biashara yaani watoto wakike wamekua mtaji kwa wazazi wao...


Ninacho taka kuuliza
  • Ni sawa mwanaume kusaidiwa kutoa mahari na mpenzi wako wa kike?
  • Je ulipwaji wa Mahari ina ulazima wowote?.
  • Je ni Agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo Je! Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa?
Ilibidi tuvute pisi Bure Mahali ni mapokeo tu
 

Dr santos

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
251
Reaction score
571
Points
0
Kwanza Mimi nadaiwa nilipaa faini tu ya kuzalisha mtoto wa watu ngombe nimetoka 0/3
Nikawaambia watanidai. Siku naenda kujitambulisha 1.2m ilikata😃😃 nje ya mahali
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Kwanza Mimi nadaiwa nilipaa faini tu ya kuzalisha mtoto wa watu ngombe nimetoka 0/3
Nikawaambia watanidai. Siku naenda kujitambulisha 1.2m ilikata😃😃 nje ya mahali
vuta nikuvutee... nashangaaga sana mtu umekuja kuoa lakini inageuka ghafla unakua kama mtuumiwa
 

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Kijana wa sasa na wa zamani wana tofauti kubwa sana

Kijana wa zamani ukimpa mke bila mahari haoi

Kijana wa sasa wanalalamika kulipa mahari

Vijana wa kesho watataka walipiwe wao mahari
 

Similar threads

Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Wakubwa shkamooni! Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani... Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa? Kwa sisi men tuko vizuri mno...
Replies
33
Views
714
Mbali ya kuwa na ndevu hizi humfanya mwanaume avutie zaidi kwa mwanamke, hizi ni faida za kiafya za mwanaume kufuga ndevu;- 1. Ndevu hulinda uso dhidi ya kemikali hatari pamoja na hewa chafu ambazo kimsingi husababisha uharibu wa chembe chembe hai za mwanadamu. Pia husaidia ngozi ya...
Replies
37
Views
534
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
911
Wanaume wengi waliooa hawapendezwi na urafiki kati ya wake zao na wanaume wengine. Wengine wanaenda mbali sana kukataza wake zao wasijichanganye na wanaume. Wanawake walio kwenye ndoa wengi wanajikuta marafiki zao wakubwa ni mashemeji zao na ndugu zao. Japo wanajichanganya na wanaume hukuti...
Replies
11
Views
293

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom