Je unatamani kuwa mtu maarufu?

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,714
Reaction score
6,233
Points
113
Ulishawahi kukaa na kuwaza kuwa unatamani kuwa mtu maaraufu?

Ungeutumiaje umaarufu wako?


Njia gani uliwaza kutumia ili kufikia umaarufu?

Je bado unandoto hizo?

La na kwanini?
 

Similar threads

  • Question Question
kila binadamu ana ndoto zake ndoto mojawapo ni kusafiri na kufika sehemu ambayo umewahi sikia uzuri wake au labda uajabu wa sehemu hio, Asikuambie mtu kuna ile feeling ile ya unaenda sehemu for the first time afu ulikua unapaota kumbuka enzi hizo ndo unaenda Dar, Arusha au kwa babe (ulikuwa...
Replies
9
Views
389
Nikiwa mtoto nilikuwa na ndoto za kuwa daktari au engineer. Ukubwani nimekuwa mfanyabiashara, ingawa ndoto zangu za utotoni bado ziko moyoni mwangu. Nikitaka kusomea udaktari itanichukua miaka 3 ya diploma, miaka 5 degree, mwaka mmoja internship kitu ambacho naona ugumu kusoma, ilihali nina...
Replies
63
Views
2K
Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
Replies
4
Views
226
  • Question Question
Moja kwa moja . Imefika stage sasa nataka niwe na account mbili za Wasap nitumie kwa malengo tofauti tofauti ,je nitumie mbinu ipi niwe nazo mbili katika simu moja kwa namba tofauti ? Wataaalamu naomba majibu maana sasa natumia wasap official ..
Replies
12
Views
585

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top