Je unaweza kuzuia kuzeeka kwa kuishi kama 'mzee kijana'?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Je, unadhani ni umri gani unaohesabika kama huyu mtu ni mzee? Ni miaka 40 hadi 60?, 50 hadi 70? ama ni umri zaidi ya huo?

Kuna msemo unasema "mzee mwisho chalinze" maana yake mjini hakuna wazee wote ni vijana. Uzee sio mwisho wa maisha na wazee pia wanastahili kusherekea maisha. Hivyo hata hapo kabla wazee walikuwa ni vijana barobaro.

Je utapofikia umri wa kuitwa mzee, utaishi kama mzee au kama kijana?
f6bb4f44d0b89c83d3138d897644d581.jpgScreenshot_20230716_141245_Google.jpg
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Je, unadhani ni umri gani unaohesabika kama huyu mtu ni mzee? Ni miaka 40 hadi 60?, 50 hadi 70? ama ni umri zaidi ya huo?

Kuna msemo unasema "mzee mwisho chalinze" maana yake mjini hakuna wazee wote ni vijana. Uzee sio mwisho wa maisha na wazee pia wanastahili kusherekea maisha. Hivyo hata hapo kabla wazee walikuwa ni vijana barobaro.

Je utapofikia umri wa kuitwa mzee, utaishi kama mzee au kama kijana?
View attachment 882View attachment 884
Huu uzi unamkusudia nani humu??
Kama huna pesa na wewe ni kijana basi tunakuita mzee
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
hiyo ni life expectancy

sio kipimo kizuri kinatofautiana kila nchi

anyway, tuna jipa moyo😂
Wewe umesema life expectancy ni kiaka 79

Nakujibu:
Tanzania life expectancy for men is 49 and for women is 51

The Bible life expectancy is 70, before it was 120

People can live beyond the general expectancy too. We see some dies too young...
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Pale linapokuja suala la kifo huwa napata simanzi sana moyoni kwani nimepoteza rafiki zangu wengi wakiwa na umri mdogo sana...Hata sikutegemea kama wangetangulia mapema hivi kwani wengi wao tulikuwa na mipango/Mikakati mingi ya maendeleo lkn ndio hivyo mungu aliwapenda zaidi na kuwatanguliza mbele za haki....

Kwa hilo suala la uzee halikwepeki lazima utambue kuwa unapokuwa hai basi utapitia kila stage za ukuaji tu ila unachohitajika kufahamu ni umeuandaa vipi mwili wako kupokea final stage/Uzee na ndio maana utaskia kuna wazee wanaitwa wazee wa mjini hivi ulishajiuliza kwa nini wanaitwa hivyo...
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525

dah, hatimae umeandika kitu kinachoeleweka
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
ahahah Jana nilikupa ban nikaona huruma una vidonda vya tumbo nikufungulie 🤣
Dah! Kumbe ulikua ni wewe ndio unafuta reply’s zangu...Hahahaaa nilikua nimejaa na kinyongo sana kwani nilidhani ni Hakimu ndio amefanya hivyo....Aiseee prezzzi wewe ni bad influencer kabisa 🤣🤣🤣
 
Similar threads

Yaani watu wako wa tofauti kwenye hii dunia, inakuwaje unamdalalia chajuu mtu wako wa karibu? Unapata nguvu kabisa ya kumpiga cha juu mtu anaye kwamini? Mzazi ni mtu wa kumdalalia? Mke/mume ni mtu wa kumdalalia? Rafiki na ndugu ni watu wa kuwadalalia chajuu? Kuna jamaa leo kanipigia simu...
Replies
4
Views
376
Inatokea mara chache sana kwa mwanamke kupata mimba mbili kwa wakati mmoja, au kupata ujauzito akiwa mjamzito. Wataalamu wanaorodhesha sababu tatu za kibaiolojia ambazo zinapelekea ugumu wa hilo kutokea: 1. Mayai kutozalishwa ama kutoka. Kawaida mwanamke anahitaji kutoa yai lenye afya ili...
Replies
2
Views
400
Niaje wakuu? Mnanisikia mpaka huko nyuma?🎤 Nauliza hivii unaweza kuishi saudi arabia kwa marufuku hizi au bora ubaki bongo ule bata na umeme wa mgao? 1 Matumizi ya pombe na dawa za kulevya ni marufuku kabisa, Kuna katazo la utengenezaji, uuzaji, umiliki na unywaji wa pombe nchini Saudi...
Replies
11
Views
424
Habari 👋👋👋 Kama ilivyo ada Mimi shujaaa wenu nimekuja na jambo, naomba tujadili wote sisi Wana KF Je unaweza jifunza tabia mpya mfano Kuwa mkimya, kuachana na kuwaza/kutamani mapenzi, kunywa bia, kuacha ulevi, kupendeza hata kuwa MTU wa comedy Ikiwa sio hurka yako je? Utaweza jifunza na...
Replies
19
Views
845
Habari wana kijiji nimetumia muda wangu kusetup ili kurahishisha uingiaji na kujiunga katika kijiji chetu Kijijiforums all voice in the vilage matters
Replies
3
Views
191

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom