Je unaweza kuzuia kuzeeka kwa kuishi kama 'mzee kijana'?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Dah! Kumbe ulikua ni wewe ndio unafuta reply’s zangu...Hahahaaa nilikua nimejaa na kinyongo sana kwani nilidhani ni Hakimu ndio amefanya hivyo....Aiseee prezzzi wewe ni bad influencer kabisa 🤣🤣🤣
ahaahh aliyefuta post ni Hakim na Mshamba
Lawama ziende kwao. Nilikupiga ban uache fujo ukalale nilihisi umelewa huchelewi kupost uko gheto unakula mbususu😬
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Wengine kwao miaka sio kipimo cha uzee
Jamii fulani za kasuku wanaweza kuishi miaka mia moja hivi, hata hivyo, ni vigumu sana kwa panya kuishi kwa zaidi ya miaka mitatu. Tofauti hiyo kubwa ya muda ambao viumbe huishi imefanya wanabiolojia fulani wakate kauli kwamba kuzeeka husababishwa na jambo fulani, na kama ni hivyo, basi huenda kukawa na tiba.

Kampuni nyingi za kutengeneza dawa zimetumia pesa nyingi kutafuta tiba inayofaa ya kuzuia kuzeeka. Isitoshe, hangaiko kuu la watu waliozaliwa baada ya Vita vya Pili vya Ulimwengu ambao sasa wana miaka 60 na kitu, limekuwa kutafuta dawa ya kuzuia kuzeeka.

Pia utafiti kuhusu kuzeeka umekuwa jambo kuu kwa wataalamu wengi wanaochunguza chembe za urithi, molekuli, wanyama, na kuzeeka na athari zake. Kitabu Why We Age, cha Steven Austad, kinasema: “Siku hizi kunakuwa na msisimko mwingi wataalamu wanaochunguza kuzeeka na athari zake
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93

Hivi itakua possible kwenda agaist nature
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Miaka ya kuishi sijui nimebakiza mingapi🤣 Ila tuombe kheri niishi miaka mingi nirekebishe na njia zangu. Nikifa leo naenda motoni kuungua kabisa.
Umebakiza mingapi
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Miaka ya kuishi sijui nimebakiza mingapi🤣 Ila tuombe kheri niishi miaka mingi nirekebishe na njia zangu. Nikifa leo naenda motoni kuungua kabisa.
Kweli maana haya maisha ukiyatazama kwa jicho lingine hayana maana kabisa kama utaishi kwa mateso then ukachomwe tena moto aisee
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Miaka ya kuishi sijui nimebakiza mingapi🤣 Ila tuombe kheri niishi miaka mingi nirekebishe na njia zangu. Nikifa leo naenda motoni kuungua kabisa.
Yani ukiuwaza huo moto hamu inaisha ya kila kitu
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Kabisa, manaku ukiangalia ulichokua unakimbizana nacho huku duniani huna hata kimoja na hata kama ulichuma mali waliobaki walivozivuruga huko ndo balaa
Kweli maana haya maisha ukiyatazama kwa jicho lingine hayana maana kabisa kama utaishi kwa mateso then ukachomwe tena moto aisee
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Kabisa, manaku ukiangalia ulichokua unakimbizana nacho huku duniani huna hata kimoja na hata kama ulichuma mali waliobaki walivozivuruga huko ndo balaa
Kila nikifikiria hivyo nachoka
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Kweli maana haya maisha ukiyatazama kwa jicho lingine hayana maana kabisa kama utaishi kwa mateso then ukachomwe tena moto aisee
Muhibiri anasema maisha ya mwanadamu nk kama kukimbiza upepo. Ukiyatazama hayana maana hata kidogo

Kikubwa acha alama hata ukifa bado unaishi. .
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Muhibiri anasema maisha ya mwanadamu nk kama kukimbiza upepo. Ukiyatazama hayana maana hata kidogo

Kikubwa acha alama hata ukifa bado unaishi. .
Sema kijiji forum ni alama kubwa sana. Ndio maana Marehemu Ruge na Mengi wanakumbukwa kila kukicha hizo ndo legacy za maana sio kufungulia zipu nakuacha watoto kwa kila mwanamke
 
Similar threads

Yaani watu wako wa tofauti kwenye hii dunia, inakuwaje unamdalalia chajuu mtu wako wa karibu? Unapata nguvu kabisa ya kumpiga cha juu mtu anaye kwamini? Mzazi ni mtu wa kumdalalia? Mke/mume ni mtu wa kumdalalia? Rafiki na ndugu ni watu wa kuwadalalia chajuu? Kuna jamaa leo kanipigia simu...
Replies
4
Views
376
Inatokea mara chache sana kwa mwanamke kupata mimba mbili kwa wakati mmoja, au kupata ujauzito akiwa mjamzito. Wataalamu wanaorodhesha sababu tatu za kibaiolojia ambazo zinapelekea ugumu wa hilo kutokea: 1. Mayai kutozalishwa ama kutoka. Kawaida mwanamke anahitaji kutoa yai lenye afya ili...
Replies
2
Views
400
Niaje wakuu? Mnanisikia mpaka huko nyuma?🎤 Nauliza hivii unaweza kuishi saudi arabia kwa marufuku hizi au bora ubaki bongo ule bata na umeme wa mgao? 1 Matumizi ya pombe na dawa za kulevya ni marufuku kabisa, Kuna katazo la utengenezaji, uuzaji, umiliki na unywaji wa pombe nchini Saudi...
Replies
11
Views
424
Habari 👋👋👋 Kama ilivyo ada Mimi shujaaa wenu nimekuja na jambo, naomba tujadili wote sisi Wana KF Je unaweza jifunza tabia mpya mfano Kuwa mkimya, kuachana na kuwaza/kutamani mapenzi, kunywa bia, kuacha ulevi, kupendeza hata kuwa MTU wa comedy Ikiwa sio hurka yako je? Utaweza jifunza na...
Replies
19
Views
845
Habari wana kijiji nimetumia muda wangu kusetup ili kurahishisha uingiaji na kujiunga katika kijiji chetu Kijijiforums all voice in the vilage matters
Replies
3
Views
191

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom