- Jul 8, 2023
- 1,320
- 2,995
- 0
habari zenu
hii ni true story by manenge.
leo nimeona niwape japo kwa kirefu sana kuhusu hii kazi yangu ya professional tour guide,kwa majina yangu nileyepewa na wazazi wangu naitwa raymond joseph mushi,nimzaliwa wa machame.
nimeona ni share nanyi ilimjue kuhusu hii kazi ambayo haina mbwembwe ila ni kazi moja nzuri sana, nilipo maliza A-level moja ya shule kubwa sana arusha inaitwa EDMUND RICE SINON ndipo nikajiunga COLLEGE OF AFRICAN WILDLIFE MANAGEMENT, MWEKA – MOSHI ambapo nilisoma kwa miaka 3 nakupata ORDINARY DIPLOMA IN WILDLIFE TOURISM mpaka sasa nina nta level 5 ya tourism huwa nasoma kozi online,pia baada ya kumaliza masoma mweka nilijiunga na chuo cha usafiri NIT PALE NILIPATA COURSE YA PROFESSIONAL DRIVING na kupata lesen class c hii niliipata baada ya kufikisha 30 ages.
hii kazi rasmi nilianza 2019 nikiwa kama guide wa kupandisha wageni kilimanjaro baadaye nikachongewea mchongo na kuajiri na kampuni kubwa sana ya utalii arusha,ambayo nafanya nao kazi mpaka sasa mimi ni professional tour guide huwa naendesha pia nawapa information kwa vitu wanavyoniuliza watalii,pembeni yangu sina mtu wa kutoa information makampuni mengi sasa hivi wanataka dereva huwe umesomea tourism pia,basi nilipata kazi chapu maana cheti kilikuwa kinzuri pia leseni ipo safi,na elimu kichwani ya utalii kiujumla.
niliajiriwa na hiyo kampuni rasmi 2022 na kupewa mkataba wa miaka 4 ambapo kila mwaka mkataba unaboreshwa kutokana na comission nazopata kutoka kwa wageni nawaongoza,wakifurahia huduma yako kila trip ya kwenda porini kwenye accoun ya bank inasoma pesa ya kujikimu hiyo tofauti kabisa na mshahara 400000 mpaka 600000 kila trip moja bado tips za wageni na vizawadi vya simu,camera,laptop,boots na camping accesories huwa wanaziacha bongo.
katika kufanya kazi kwangu mpaka sasa nimetembea takiribani mbuga zote tanzania,na game reserves hizi ni mbuga nilizotembelea mpaka now
Ngorongoro Conservation Area Park
nitawapa sifa za kila national park hapa,pia nimetembelea game reserves mbalimbali hapa tanzania
tuanaanza hivi;
1.SERENGETI NATIONAL PARK
sifa ya kwanza ya serengeti hii ndo hifadhi kubwa ya wanyama hapa tanzania,ukienda serengeti utapata kuwaona kundi kubwa la wildebeest but also groups of zebra and Thomson's gazelle, Grant's gazelle and eland
huwa wanakipindi cha migration ni miezi ya
itaendeleeeeea

Arusha National Park
Mahale Mountains National Park
Katavi National Park
Tarangire National Park
Lake Manyara National Park
Ruaha National Park
gombe Stream National Park
Mikumi National Park
Ngorongoro Conservation Area Park
Kilimanjaro National Park
Serengeti National Park
nitawapa sifa za kila national park hapa,pia nimetembelea game reserves mbalimbali hapa tanzania
tuanaanza hivi;
1.SERENGETI NATIONAL PARK
sifa ya kwanza ya serengeti hii ndo hifadhi kubwa ya wanyama hapa tanzania,ukienda serengeti utapata kuwaona kundi kubwa la wildebeest but also groups of zebra and Thomson's gazelle, Grant's gazelle and eland
huwa wanakipindi cha migration ni miezi ya
December-April
May-July
August-September
October-November
hiyo ndo miezi minzuri ya kutembelea serengeti hapo utaona group kubwa la wanyama wana movies kutafuta pastures nzuriitaendeleeeeea