- Jul 9, 2023
- 3,821
- 3,805
- 113
Kusanya vipande vya sabuni
Ni bora kutumia sabuni isiyo na harufu; kwa njia hii, unaweza kuongeza harufu yako mwenyewe. Ikiwa unataka kutumia sabuni yenye harufu nzuri, hakikisha kwamba mabaki yote yana harufu sawa, vinginevyo unaweza kuishia na mchanganyiko wa harufu mbaya.
2. Kata sabuni kuwa vipande vidogo dogo.
Vunja sabuni katika vipande vidogo kwanza. Jinsi ya kufanya hili ni juu yako. Unaweza kukata sabuni kwa kutumia Crater, kwa kutumia Kisu au Blender.
3. Chemsha maji lita 3.8 za maji kwenye sufuria
Mimina maji kwenye sufuria kubwa kwanza. Weka sufuria yenye maji kwenye jikoni, kisha chemsha maji mpaka yaanze kuchemka.
4. Koroga sabuni ndani ya maji.
Endelea kuikoroga hadi sabuni itayeyuka. Muda gani hii inachukua inategemea na ukubwa wa vipande vidogo vidogo ulivyokata. Kadiri vipande vya sabuni vilivyo vidogo, ndivyo vitavyoyeyuka kwa haraka.
5. Ongeza glycerin ikiwa hutumii sabuni iliyotengenezwa kwa mikono.
Sabuni ambazo zimetengenezwa majumbani mara nyingi huwa na glycerini. Ikiwa unatumia sabuni ya kawaida ya dukani, ongeza vijiko 2 (mililita 30) vya glycerini na ukoroge maji ya sabuni.
6. Acha maji ya sabuni yapoe joto kwa masaa 12 hadi 24.
Wakati huu, maji ya sabuni yataongezeka ugumu. Ikiwezekana, koroga maji ya sabuni kila baada ya muda fulani. Usishtuke ikiwa sabuni itaanza kutanda mapovu juu baada ya saa kadhaa. Hii ni kawaida.
7. Koroga sabuni asubuhi iliyofuata. Changamya mafuta unayopenda sio lazima.
Uwezekano ni kwamba, sabuni itakuwa nzito wakati wa saa hizo 12 hadi 24. Koroga kwa mwiko, ikiwa sabuni ni nzito sana, ongeza maji zaidi, kisha ukoroge tena.
Koroga mafuta yoyote unayoyapenda kwa kuanza na matone machache, kisha uongeze zaidi inapohitajika. Mafuta kama Peppermint, lavender, na rosemary zote ni chaguo bora. Ikiwa sabuni yako tayari ilikuwa na harufu nzuri kwa kuanzia, unaweza kuruka hatua hii.
8. Mimina sabuni kwenye vyombo vya kutolea sabuni.
Ikiwa una sabuni iliyobaki, unaweza kuimimina kwenye mitungi mikubwa ili uitumie baadaye. Jaribu kutumia glasi kama unaweza; ikiwa huwezi kupata yoyote, tumia plastiki ya ubora wa juu.

- Ikiwa unataka kuchanganya harufu tofauti, hakikisha kwamba zinaendana vizuri, kama vile limau na lavender.
- Epuka kutumia sabuni iliyoongezwa moisturizer. Hii inaelekea kuifanya iwe ngumu kutengeneza.