- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 7,617
- Reaction score
- 26,429
- Points
- 113
Wasalaam
MAHITAJI:
Sulphonic acid, soda ash, maji yaliyochujwa vizuri, perfume, Rangi yoyote inayovutia, sless, na Chumvi.
JINSI YA KUTENGENEZA:
Andaa vizuri chombo chako kwaajili ya kutengenezea sabuni yako kama ndoo au pipa pamoja na kuandaa malighafi zako huku ukizingatia usafi.
Tanguliza kumimina ssulphonic acid vijiko vitano vya chakula kwenye chombo chako.
Kisha inafatwa kwa kuweka soda ash iliyochanganywa na maji vijiko vitatu vya chai.
Weka maji lita tano ukifuatiwa na sless robo lita, chukua pafyum yoyote na uweke kijiko kimoja na nusu cha chai. Ongeza rangi kijiko kimoja cha chai na uanze kunyunyizia chumvi ambayo huleta uzito na kufanya sabuni yako isiharibike na kukaa muda mrefu.
Koroga vyote kwa pamoja kwa muda wa dakika ishirini na sabuni yako itakuwa tayari.
NB:
1. Malighafi zinapatikana madukani huko kariakoo.
2. Kunbuka kuvaa barakoa ili kuepusha kuvuta gas hatari zinazotokana na kuchanganya malighafi.
3. Pia tumia vifaa vya kujikonga kama gloves ma nguo kutokanana na sumu inayopatikana kutoka kwenye baadhi ya malighafi
4. Mchanganyiko wako utatoa sabuni lita 25 ikizidi hapo utakuwa umekosea vipimo.