- Jul 8, 2023
- 1,320
- 2,995
- 0
Habari zenu..
The great manenge KF President. Basi nikiwa kama Raisi wa heshima kabisa. Nitafanya haya.:
The great manenge KF President. Basi nikiwa kama Raisi wa heshima kabisa. Nitafanya haya.:
- Nitahakikisha kila forum nimeandika uzi mmoja koki/jiwe.
- Nitajitahidi ndani ya huo mwenzi mmoja niliyopewa members wasiwe chini 100 tena active.