Kati ya mwanaume na mwanamke nani yuko vizuri kwenye kutunza hela?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Wakubwa shkamooni!
Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani...
Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa?
Kwa sisi men tuko vizuri mno jamani, acha tujipongeze...

Uzi tayari
 

February girl

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 5, 2023
Messages
82
Reaction score
265
Points
0
Wakubwa shkamooni!
Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani...
Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa?
Kwa sisi men tuko vizuri mno jamani, acha tujipongeze...

Uzi tayari
Lakini pia mnazitunza ili mje muhonge kwa hao wanaozitumia vibaya😙
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Mmmh... Kwanini unatuingiza wote kwenye kundi moja?🙂
Nikiwa nyumbani namuwekea mama pesa zake kuna muda akitaka kununua kitu namjibu hakina umuhimu na sitatoa hela kwa matumizi ya kitu hiko. Hivyo anapendaga nikae na pesa zake sababu yeye anamajukumu mengi...

Ila kutumia si kubaya, pesa inatafutwa ili itumike unless kama unamipango ya baadae otherwise wacha zitumike🙃
Kwakua mna many sources za hela, tumieni tu
 

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Wakubwa shkamooni!
Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani...
Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa?
Kwa sisi men tuko vizuri mno jamani, acha tujipongeze...

Uzi tayari
utunzaji wa ela unahitaji uvumilivu kweli kweli haijalishi mwanamke au mwanaume kinachomatter ni uvumilivu
sio umaweka kana fika ka 100000 unaanza kutamani jeans
kila mtu yupo vinzuri hapo inategemea na uvumilivu tuuu
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Watoto wa shule sekondari
Kiume - Anapewa buku anarudi na madeni

Kike - Anapewa buku anarudi na buku mbili

Umeelewa hapo?
Kwaiyo unataga Toto la kiume nayeye adengue atape pesa, mimi KILA siku nasema usingle milele ndio ufumbuuzi
 

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
kwakweli nahitaji kujifunza hilo somo la kutunza hela, maana kusingekua na malengo accounts leo na kesho ingekua aibu🤦‍♀️🤦‍♀️
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Aisee wacha tuumwagilie moyo sina kumbukumbu mara ya mwisho kupoteza pesa ila kwenye matumizi duh natumia sio vibaya wala vizuri
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Au na wewe tukuchongee kibubu uwe unaweka😃
Nilikivunjaga baada ya siku 7 vizuri niliwega boksi badala ya board hivyo vidole vilifanya kazi yake
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Yanini? Ili nife wale wengine yani leo nimetoka msibani nipo home mwenyewe naogopa kulala 🥲 Gily nipeni njia
Dah. Mzee ukiwa na Yesu hutakiwi kuogopa
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Ni mama yangu mdogo alikuwa hapa home sasa nipo pekeyangu na wote wamesafiri kuzika
Pole sana aisee. Ulivyonitext unarudi home kumbe uko mwenyewe


Mdogo wangu wewe bado mdogo kwa nn ukienda Kuaga? Huwa siagi, nashiriki msiba. Iliniathiri sana wakati natumikia Church misa za misiba
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Pole sana aisee. Ulivyonitext unarudi home kumbe uko mwenyewe


Mdogo wangu wewe bado mdogo kwa nn ukienda Kuaga? Huwa siagi, nashiriki msiba. Iliniathiri sana wakati natumikia Church misa za misiba
Ndo hivyo ila nimejifunza kama sio mtu wa karibu sana sikanyagi kuaga tena ng'o
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
kwakweli nahitaji kujifunza hilo somo la kutunza hela, maana kusingekua na malengo accounts leo na kesho ingekua aibu🤦‍♀️🤦‍♀️
Karibu mwana mpotevu, ilo somo liko huku ndani taftatafta utalipata
 

Similar threads

Wanaume wengi waliooa hawapendezwi na urafiki kati ya wake zao na wanaume wengine. Wengine wanaenda mbali sana kukataza wake zao wasijichanganye na wanaume. Wanawake walio kwenye ndoa wengi wanajikuta marafiki zao wakubwa ni mashemeji zao na ndugu zao. Japo wanajichanganya na wanaume hukuti...
Replies
11
Views
293
Mwana saikolojia wa kimarekani, Profesa Reek amechapisha matokeo ya utafiti wake juu ya mwanaume na mwanamke katika kitabu kikubwa. Anasema: Ulimwengu wa mwanaume ni tofauti kabisa na ule wa mwanamke. Ikiwa mwanamke hawezi kufikiri au kufanya mambo kama mwanaume, ni kwa sababu wanaishi katika...
Replies
8
Views
290
Licha ya kwamba aina zaidi za tofali za kujengea nyumba lakini watu wengi hujiuliza sana kati ya tofali za kuchoma na tofali za bloku au tofali za simenti ni zipi bora zaidi? angalau zipi zinafaa zaidi kwa ujenzi? kuhusu kulinganisha gharama za hizi aina mbili.
Replies
14
Views
604
  • Question Question
Kutokana na umuhimu wa bank kwa matumizi mbalimbali leo ningependa ma expert wa humu kutoa nondo juu ya akaunti za bank na faida kwa mtumiaji wa namna fulani Unaruhusiwa kujadili bank yeyote ila mimi ningependa tuanze na hizo hapo juu Karibuni
Replies
11
Views
209
Habari! Leo ningependa tujadiliane biashara ambazo zinafaida ila watu wanazipuuzia, unaweza ongeza list ya biashara yako unayofikiri Kuuza genge biashara hii ukipata sehemu yenye watu inaweza kuwa na faida sana sababu unachukua vitu kwa jumla sokoni kisha unaviuza rejareja (raha uwe na usafiri...
Replies
11
Views
283

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom