Kati ya tofali za kuchoma na cement zipi bora zaidi?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Licha ya kwamba aina zaidi za tofali za kujengea nyumba lakini watu wengi hujiuliza sana
  • kati ya tofali za kuchoma na tofali za bloku au tofali za simenti ni zipi bora zaidi?
  • angalau zipi zinafaa zaidi kwa ujenzi?
  • kuhusu kulinganisha gharama za hizi aina mbili.
fullsize.jpg
 

Katkit

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 8, 2023
Messages
693
Reaction score
2,144
Points
93
Tofali za kuchoma zenyewe kama zenyewe tu ni decoration tosha sana, zikiwa zimetengenezwa kitaalamu na ukampata fundi kujenga anayeijua kazi yake vizuri, basi nyumba inapendeza sana bila hata kupaka rangi. Siji kujenga nyumba lakini.!
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Sidhani kama tofalinza kuchoma zinafaa kujengea makaro ya maji?

Sina uhakika kuhusu tofali
za kuchoma ila cement ikipata maji inakuwa imara zaidi
 
Last edited:

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Tofali za kuchoma na mvua wapi na wapi? Zitayayuka chamsingi ni zege tu
 

Similar threads

Wakubwa shkamooni! Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani... Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa? Kwa sisi men tuko vizuri mno...
Replies
33
Views
714
Wanaume wengi waliooa hawapendezwi na urafiki kati ya wake zao na wanaume wengine. Wengine wanaenda mbali sana kukataza wake zao wasijichanganye na wanaume. Wanawake walio kwenye ndoa wengi wanajikuta marafiki zao wakubwa ni mashemeji zao na ndugu zao. Japo wanajichanganya na wanaume hukuti...
Replies
11
Views
293
  • Question Question
Kutokana na umuhimu wa bank kwa matumizi mbalimbali leo ningependa ma expert wa humu kutoa nondo juu ya akaunti za bank na faida kwa mtumiaji wa namna fulani Unaruhusiwa kujadili bank yeyote ila mimi ningependa tuanze na hizo hapo juu Karibuni
Replies
11
Views
209
Habari! Leo ningependa tujadiliane biashara ambazo zinafaida ila watu wanazipuuzia, unaweza ongeza list ya biashara yako unayofikiri Kuuza genge biashara hii ukipata sehemu yenye watu inaweza kuwa na faida sana sababu unachukua vitu kwa jumla sokoni kisha unaviuza rejareja (raha uwe na usafiri...
Replies
11
Views
283
Mwana saikolojia wa kimarekani, Profesa Reek amechapisha matokeo ya utafiti wake juu ya mwanaume na mwanamke katika kitabu kikubwa. Anasema: Ulimwengu wa mwanaume ni tofauti kabisa na ule wa mwanamke. Ikiwa mwanamke hawezi kufikiri au kufanya mambo kama mwanaume, ni kwa sababu wanaishi katika...
Replies
8
Views
290

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom