Kukojoa nje inawezekana?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,778
113
Nina mwanamke wangu hawezi tumia njia za uzazi wa mpango kwa sababu zinamletea madhara. Mwanzo alikuwa anameza vidonge damu inatoka nyingi mpaka anazimia. Mara kadhaa anaenda hospital kujaziwa damu.

Ana tatizo la allergy mda mwingine kuna baadhi ya condoms zinamkataa pia. Alishaweka kijiti akanenepa na kutoka chunusi nyingi usoni. Hivyo amekuwa mzito kutumia njia nyingine za uzazi wa mpango. Akihofia kuwa zitamletea madhara makubwa ambayo anaishi nayo kwa mda mrefu

Nataka kujua Je kukojoa nje inawezekana? Ni njia salama kuzuia mimba? Nishawahi jaribu kukojoa nje nikashindwa hapo nyuma. Nilijikuta tu teyari wazungu hao. Nafanyaje niweze kukojoa nje?
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,019
22,617

Inawezekana vizuri sana

Ushauri:
Ukikojoa nje shahawa hubaki kwenye njia ya uume. Hivyo unatakiwa ukojoe mkojo wa kawaida ili kusafisha njia. Mkojo unaua shahawa pia. Kiusalama zaidi kojoa hata mara mbili kuhakikisha hazijabaki.

Nimejibu swali lako?
 
Similar threads

Moja kwa moja kwenye mada.... Kutoka 2:5-10 5 Basi binti Farao akashuka, aoge mtoni, na vijakazi wake wakatembea kando ya mto; naye akakiona kile kisafina katika majani, akamtuma kijakazi wake kwenda kukileta. 9 Binti Farao akamwambia, Mchukue mtoto huyu, ukaninyonyeshee, nami nitakupa...
Replies
16
Views
380
Binafsi nje ya IT napenda kuigiza comedy kama wale wasanii wa Hollywood
Replies
31
Views
388
Top Bottom