Kuna pembe tatu ngapi?

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,590
Reaction score
26,196
Points
113
Je katika mchoro huu kuna pembe tatu ngapi?FB_IMG_1716505641279.jpg
 
Pembe tatu kubwa kabisa iko moja,
Alafu pembe tatu kubwa ziko nne
Pembetatu ndogo ziko kumi na mbili
 
Zipo kumi na saba
 

Similar threads

Wakuu mko gud? Mimi niko gudi kabisa na mshukuru muumba wa mbingu na nchi niko mzima, na nina furaha na amani, nmeshiba, na nina kama afu kumi na tatu za kenyA mfukoni😊 Najua mpaka hapa nitakua nimeshakwaambukiza ka furaha na ka amani kwa wote ambao hamko sawa😀 Kumekuwa na misemo ya hekima...
Replies
9
Views
457
Habari ndugu zangu . Nikiwa hapo ulipokuwa baada ya mimi kuja kufanya umbea wangu nilikuonea huruma sana mzee mwenzangu . Mdomoni unaonekana mwamba ila sura na sauti vilinionesha kuwa unajuta ila hautaki kukubali . Siku kadhaa ulizokaa kaka yangu umetoka umekongoroka kama sio wewe . Aisee...
Replies
15
Views
455
Habari ndugu zangu Kuna haja ya kupima DNA watoto ulio walelea na kuishi nao kama watoto wako kweli? Kwa upande wangu naona sio sawa, kama umehisi mtoto sio wako unakausha tu, kuna watu wengi wameadopt watoto na wana amani telee.. Watu wanadai sababu inayofanya wa wafanye DNA test ni ili...
Replies
10
Views
196
Wanaume wengi waliooa hawapendezwi na urafiki kati ya wake zao na wanaume wengine. Wengine wanaenda mbali sana kukataza wake zao wasijichanganye na wanaume. Wanawake walio kwenye ndoa wengi wanajikuta marafiki zao wakubwa ni mashemeji zao na ndugu zao. Japo wanajichanganya na wanaume hukuti...
Replies
11
Views
293
Wakuu nauliza tu kwa nia njema, je unafikiri kuna mapenzi siku za hivi karibuni au tamaa na maslahi binafsi yamewekwa mbele Binafsi siamini kabisa katika mapenzi, naona ni kama kupoteza muda nasubiri vijana wenzangu wa kataa ndoa tuje hapa tushushe nondo Watu wanauana sana, full stress no...
Replies
18
Views
329
Back
Top