Kutembelea nyumba ambayo uliishi utotoni

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,590
Reaction score
26,196
Points
113
Ushawahi pata hisia za kutaka kutembelea sehemu au nyumba ambayo uliishi utotoni?

Una kumbukumbu za kutosha kuhusu nyumba nyumba hii au sehemu ambayo umekulia?

Karibu tukumbushane maisha ya utotoni na makuzi tuliyokulia hapa.

Binafsi:
Nimekulia Kinondoni B. Nilikuwa naona sifa sana kujiita mtoto wa Kino Clay. Miaka imepita mingi toka tuhame kifamilia ila huwa nikipita nje ya nyumba niliyokulia napata hisia ya tofauti sana

Nyumba ya national housing ishavunjwa kitambo sasa kuna ghorofa na watu ambao siwajui. Maisha yangu ya ukubwani yamekuwa ya stress nyingi mno huwa natamani nirudi nyuma nikaishi kama hapo zamani. Utoto raha sana hujui majukumu wala changamoto.

Nakumbuka marafiki zangu wengine wakiwa wametangulia mbele za haki. Katika utoto wetu tulicheza sana gololi na mpira wa miguu.
 
Nimekulia iliboru Town kabisa wanapaita kwa cheusi,cheusi mwenyewe ana bar pale mtaani kwetu palikuwa pembezoni mwa ile barabara kubwa ya East africa mashariki.
Nimekulia Town toka nikiwa mtoto mdogo,na michezo yetu ilikuwa ya hatari sana kucheza gololi,kamari,mpira wa maupele na makara,kuvua samaki mto naura kweli utoto raha sana.
Wenzangu waliotangulia mbele za haki r.i.p
 
Nimezaliwa Amana, Nimekulia tabata Mawenzi nimekulia mpaka kimanga huko, ila pale Mawenzi hua siendagi kabisa kwenye nyumba niliokulia ila kuna kafeeling flani japo now sipo tabata ila ni mitaa yangu ya kujidai simalizagi wiki kadhaa sijatimba huko kwa wanangu sana
 
Mtoto wa kishua
 
Nafeel Kama nilikua nanyanyaswa hivi maana Sina feeling yoyote ya nyumbani Wala mtaa niliokulia.. Nina moments za shule tu hapa ndo nazozikumbuka tangu nikiwa mdogo
 
Ukikua na mtoto wa kike. Ile mnatoka shule sawa unaenda cheza boli, yeye anapika na kusaidia kazi za nyumbani. Wengi huona wananyanyaswa
 
Tatizo Mimi sijakaa nyumbani.. Nimeanza kujitambua kwamba naitwa Lee Niko na Uniform, napelekwa chooni na strangers, naogeshwa na strangers,, nakula na strangers nalala na strangers,, aisee hii kitu sio nzuri kabisa
 
Nafeel Kama nilikua nanyanyaswa hivi maana Sina feeling yoyote ya nyumbani Wala mtaa niliokulia.. Nina moments za shule tu hapa ndo nazozikumbuka tangu nikiwa mdogo
Kazi waliyokua wakifanya wazaz wangu ilikua atarishi so dada wa kazi ndio my mom I love her, uyo dada(mama now) alinipenda kiasi kwamba amempa mtoto wake wa kwanza jina langu... mwezi wa pili nlienda kumsalim mlezi wangu wa utotoni tulipiga stori sana ikafika maali hadi tunalia...
 
Nimeguswa, very touching. ❤️❤️
 
Kazi waliyokua wakifanya wazaz wangu ilikua atarishi so dada wa kazi ndio my mom I love her, uyo dada(mama now) alinipenda kiasi kwamba amempa mtoto wake wa kwanza jina langu... mwezi wa pili nlienda kumsalim mlezi wangu wa utotoni tulipiga stori sana ikafika maali hadi tunalia...
Mimi niliwahi kwenda shule ambayo nilisomaga nilipanga nikamuulizie mawasiliano yake yule madam aliyekua ananilea,maana nilijua atakua ameshahama ni mda mrefu ulikua umepita, kweli nikaambiwa alisimamishwa kazi mda mrefu kwasababu ya kuumwa kansa wakanipa namba yake na ya mume wake. Siku nimetulia nikawatafuta nikaambiwa alishafariki almost miaka mitano imepita tangu 2014( Mimi nilienda after four 2019 mwanzoni),,niliumia Sana alikua ananipendaga Sana yani..May your Rest in peace madam Issa🥺🥺
 
Aisee, upendo unadumu sana, nawewe usiache kuonesha upendo kwa people around mkuu
 
Kwakweli nilitamani hata ningekuwepo siku ya msiba wake japo niseme chochote..,Maana alikua ndo mama yangu na baba yangu kwa wakati ule, alifanya kila kitu ambacho walitakiwa wafanye wazazi wangu.. for the first time nalitambua jina langu kutoka mdomoni mwake, alikua ananibeba mgongoni nikisikia usingizi, ananipeleka chooni nikijiskia kujisaidia,.. sijui kwanini leo nimemkumbuka sana hivi
 
Nngekua karbu ningekukumbatia kwa upendo huku nikikwambia polee kwa kuindokewa na mlezi wako wa shuleni, ,, ukunikikupigapiga mgongoni taratiibu nakuendelea kukusisitizia kuwa Ulistaili upendo kama ule
 
Mimi niliwahi kwenda shule ambayo nilisomaga nilipanga nikamuulizie mawasiliano yake yule madam aliyekua ananilea,maana nilijua atakua ameshahama ni mda mrefu ulikua umepita, kweli nikaambiwa alisimamishwa kazi mda mrefu kwasababu ya kuumwa kansa wakanipa namba yake na ya mume wake. Siku nimetulia nikawatafuta nikaambiwa alishafariki almost miaka mitano imepita tangu 2014( Mimi nilienda after four 2019 mwanzoni),,niliumia Sana alikua ananipendaga Sana yani..May your Rest in peace madam Issa🥺🥺
She has my name, nb ngoja niulize ilikuwaje kwa wazazi na kwanini ulikuwa mbali for long?
 
Kwakweli nilitamani hata ningekuwepo siku ya msiba wake japo niseme chochote..,Maana alikua ndo mama yangu na baba yangu kwa wakati ule, alifanya kila kitu ambacho walitakiwa wafanye wazazi wangu.. for the first time nalitambua jina langu kutoka mdomoni mwake, alikua ananibeba mgongoni nikisikia usingizi, ananipeleka chooni nikijiskia kujisaidia,.. sijui kwanini leo nimemkumbuka sana hivi
Kila jambo duniani lina maana. Usiache kuonyesha upendo na wema kwa wengine wanaokuzunguka. .

1 Kor 13:4-8 SUV
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
 
Kwakweli
 
Similar threads

Nini mantiki ya kutembelea waliotangulia mbele ya haki kuwaombea? Kutokana na mafundisho ya dini nyingi kuwa mtu huona mbingu au pepo kunalingana na maisha yake aliyoishi hapa duniani. Kama maisha haya ni ya kumpendeza Mungu basi ataiona Pepo. Kama hayakuwa ya kumpendeza Mungu ataenda motoni...
Replies
47
Views
906
Licha ya mtandao wa Twitter kuzuiliwa nchini China, Billionea ambaye ndiye mmiliki wa mtandao huo anatarajiwa kuanza ziara yake nchini humo wiki hii. Hii inakuwa ni mara ya pili baada ya miaka mitatu kupita, Elon Musk kwenda nchini China, kwani mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2020 alipokwenda...
Replies
7
Views
195
Habari zenu:.. Kumekuwa na kasumba mbaya kwa vijana,vijana wa sasa wananunua mandinga kitu cha ajabu hawana viwanja wala nyumba. Aisee nyumba na kiwanja kila siku inapanda thamani Ila gari linashuka thamani
Replies
8
Views
296
Hoteli nne na nyumba moja ya makazi zimeungua moto Paje Wilaya ya Kusini Unguja, Mkoa wa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Hoteli hizo ni pamoja na; Cristal resort, Maisha Matam, Drifters na The Nest Boutique resort Mkuu wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Rajab Mkasaba...
Replies
4
Views
504
  • Sticky
Wasalaam Tuko kwenye Kijiji cha ujenzi na hapa kila mmoja atapata nafasi ya kutupia ramani ya ujenzi yenye vipimo vyake. Kupitia ramani hizi kila mwana kijiji anaweza jenga nyumba ya ndoto yake. .
Replies
15
Views
956
Back
Top