1.Simu kupata moto
Ikiwa unatumia simu yako na inapata moto ni moja kati ya dalili kuwa inafanya kazi kupita uwezo wake, hii inaadhiri battery
2.Power bank
Baadhi ya power bank zinaharibu battery kutokana kuwa na ubora mbovu au kuwango cha umeme kinachotoa
3.Charge
Zingatia charge ya simu unapotaka kununua ziendae na specifications za simu yako ili kuzuia battery kupata shida
4.Kucharge huku unatumia
Hili sio jambo zuri kwani simu inakuwa overheating
5.Mafundi uchara
Epuka kufungua simu yako, au kupeleka kwa mafundi ambao hawana ujuzi wa kutosha hii itapelekea uharibifu wa vifaa vikiwemo battery