Mambo ambayo mwanamke anatakiwa kujua kahusu sehemu zake za siri

KijijiForums

Official Account
KF Moderator
Joined
Jun 5, 2023
Messages
26
Reaction score
57
Points
0
Mambo ambayo mwanamke anatakiwa kujua kahusu sehemu zake za siri

1. Sehemu za siri zinajisafisha zenyewe
Idadi kubwa ya wanawake, wana imani kuwa wakitumia bidhaa mbalimbali za urembo, kama sabuni basi ndio watajisafisha vizuri sehemu za siri. Hakuna haja ya kutumia chochote kusafisha sehemu ya siri, kwa sababu kunajisafisha yenyewe.

2. Ni muhimu kujua sehemu za siri kuanzia sehemu ya nje (Vulva)
Sehemu ya siri imegawanyika sehemu ya ndani na nje, sehemu ya nje ndio sehemu ambayo itakugusa kwenye nguo yako ya ndani. Wakati wa kuosha na maji ni muhimu sana kujua kutofautisha maeneo hayo.

3. Sehemu za siri za mwanamke ni kama bustani
Sehemu za siri zina jeshi kubwa la bakteria wazuri ambao wanasaidia kufanya kuwe na afya. Bakteria wazuri wanatengeneza ute ambao una asidi kidogo ambazo huuq bakteria wabaya, na hufanya kuweka unyevunyevu wakati wote.

Sababu hii inatakiwa kusiwekwe wala kupanguswa kwa kitu chochote ndani ya sehemu za siri ili kuhakikisha bakteria wazuri wabaki na kuwazuia bakteria wabaya kutokuchukua nafasi.

4. Nywele za sehemu za siri zipo hapo kwasababu.
Imekua ni utamaduni kwa wanawake kunyoa sehemu za siri na kubakiza upara kabisa, hii inaweza kusababisha kushambuliwa kwa urahisi na bakteria.

Unavyonyoa sehemu za siri, unasababisha usumbufu kwenye ngozi, watu hujikata, na kusababisha maambukizi. Kama unataka kunyoa, unapaswa kutumia wembe safi, mpya, na unyoe usinyoe kipara, ili kuepusha maambukizi.

5. Umri unavyoenda unaathiri na sehemu za siri.
Baada ya miaka kadhaa ya kupata hedhi, wakati mwingine watoto, mayai ya uzazi huacha kuzalishwa na hedhi pia inakoma. Idadi ya homoni inayofanya mwili wa mwanamke uzalishe zinapungua sana, hii inaleta athari kwa sehemu za siri.

Tishu ambazo zinaleta unyevunyevu kwenye sehemu za siri zinapungua na kusababisha kubaki kukavu, na husababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa. Sio lazima upate shida unaweza kutumia vilainishi.

BBC Swahili
 
Kwanini unyoe nywele zote ubaki kipara?
#wanawake oyee
 

Similar threads

Hutakiwi kumbusu mtoto sikioni: Ukimbusu mtoto sikioni. Imekuwa ni kawaida ya watu kubusu watoto masikioni, wasijue hii inaweza mletea mtoto kuwa kiziwi. Bush hili ambalo hutambulila kama 'Busu lisilo na hatia' linaweza pia mletea mtoto maumivu ya maisha inapotokea ngoma imepasuka. English: An...
Replies
1
Views
250
KOMBA(BUSH BABY) Ni mnyama jamii ya kima ambaye Ni mdogo kuliko wote ambaye anatembea usiku tu mchana analala (night monkey) Bush baby Ni Aina pekee ya kima ambaye muda mwingi wa Maisha yake anatumia akiwa juu ya mti. Bush baby Ana macho makubwa yanayomsaidia kuona wadudu gizani na masikio...
Replies
2
Views
241
1)Kama ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka duniani 2) Paka wengi ni mashoto kwa maana miguu yao ya kushoto ndio hutawala katika shughuli zao nyingi 3)...
Replies
17
Views
628
MAMBA ni mnyama anayekula nyama, huweza kuishi nchi kavu lakini maisha yake kwa kiasi kikubwa hupendelea kukaa majini, tofauti na fikra za watu wengi ambao hufikiri mamba anazaa ukweli ni kwamba huwa anataga, ambapo kwa wastani hutaga mayai 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe...
Replies
4
Views
525
  • Article Article
Jumatatu naamkia makao makuu ya nchi , katika wiki kadhaa nyuma . Huko nafanya kilicho nipeleka , najipanga kurudi ila nasema wacha nimpigie rafiki yangu mmoja kutoka huko kwa washua ( Wahaya) Bila ajizi anapokea simu , makutano yanapangwa tunakuwa na muda mzuri sana kwenye kumbi za starehe...
Replies
23
Views
502
Back
Top