Mambo usiyo fahamu kuhusu Komba (Bush Baby)

Anonymous

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
515
Reaction score
143
Points
0
downloadfile-1.jpg

KOMBA(BUSH BABY) Ni mnyama jamii ya kima ambaye Ni mdogo kuliko wote ambaye anatembea usiku tu mchana analala (night monkey)

Bush baby Ni Aina pekee ya kima ambaye muda mwingi wa Maisha yake anatumia akiwa juu ya mti.

Bush baby Ana macho makubwa yanayomsaidia kuona wadudu gizani na masikio makubwa yanayomsaidia kusikia vizuri.

Bush baby ana umbo dogo Ila analia sauti kubwa inayofanana na ya mtoto,pia ana vidole vitano na kucha Kama za mtoto mdogo hiyo ndio sababu wanamuita Bush baby yaani mtoto wa porini.

Chakula chake Ni matunda na wadudu lakini maajabu anakunywa pombe ya mnazi maarufu Kama tembo.

Usiku anapopanda juu ya mnazi na kukuta kopo la mgema alilokinga tembo lazima ainywe, akilewa anaanguka kutoka juu ya mnazi Hadi chini au mgema anamkuta juu ya mnazi kalewa kashindwa kuondoka.

Bush baby anakufa akiwa juu ya mti kamwe huwezi kumuona kafia ardhini labda awe amegongwa au kapigwa.

Bush baby anaishi miaka 3 Hadi 4
 
Huyu mnyama ana kelele. Tukiwa Rombo huko miaka ya nyumba, kipindi mzee anajenga nyumba yake. Huyu mnyama alipiga kelele jamaa akiwa anaoga, ana sauti ile mbaya, jamaa akazania tembo. Wacha akimbie uchi wa mnyama
 
Huyu mnyama ana kelele. Tukiwa Rombo huko miaka ya nyumba, kipindi mzee anajenga nyumba yake. Huyu mnyama alipiga kelele jamaa akiwa anaoga, ana sauti ile mbaya, jamaa akazania tembo. Wacha akimbie uchi wa mnyama
kimagure orange road tea GIF
 

Similar threads

MAMBA ni mnyama anayekula nyama, huweza kuishi nchi kavu lakini maisha yake kwa kiasi kikubwa hupendelea kukaa majini, tofauti na fikra za watu wengi ambao hufikiri mamba anazaa ukweli ni kwamba huwa anataga, ambapo kwa wastani hutaga mayai 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe...
Replies
4
Views
525
1)Kama ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka duniani 2) Paka wengi ni mashoto kwa maana miguu yao ya kushoto ndio hutawala katika shughuli zao nyingi 3)...
Replies
17
Views
628
  • Article Article
Jumatatu naamkia makao makuu ya nchi , katika wiki kadhaa nyuma . Huko nafanya kilicho nipeleka , najipanga kurudi ila nasema wacha nimpigie rafiki yangu mmoja kutoka huko kwa washua ( Wahaya) Bila ajizi anapokea simu , makutano yanapangwa tunakuwa na muda mzuri sana kwenye kumbi za starehe...
Replies
23
Views
502
Hutakiwi kumbusu mtoto sikioni: Ukimbusu mtoto sikioni. Imekuwa ni kawaida ya watu kubusu watoto masikioni, wasijue hii inaweza mletea mtoto kuwa kiziwi. Bush hili ambalo hutambulila kama 'Busu lisilo na hatia' linaweza pia mletea mtoto maumivu ya maisha inapotokea ngoma imepasuka. English: An...
Replies
1
Views
250
Mambo ambayo mwanamke anatakiwa kujua kahusu sehemu zake za siri 1. Sehemu za siri zinajisafisha zenyewe Idadi kubwa ya wanawake, wana imani kuwa wakitumia bidhaa mbalimbali za urembo, kama sabuni basi ndio watajisafisha vizuri sehemu za siri. Hakuna haja ya kutumia chochote kusafisha sehemu ya...
Replies
12
Views
250
Back
Top