Manchester United Special thread

KijijiForums

Official Account
KF Moderator
Joined
Jun 5, 2023
Messages
26
Reaction score
57
Points
0
Kilabu kilianzishwa kikijulikana kama Newton Heath L & YR F.C. mwaka wa 1878 kama timu ya kazi ya bohari la Reli la Lancashire na Yorkshire huko Newton Heath. Mashati ya kilabu hiyo yalikuwa ya kijani na nusu dhahabu. Walicheza kwenye uwanja mdogo, uliochakaa huko North Road kwa miaka kumi na mitano, kabla ya kuhamia Bank Street katika mji wa karibu wa Clayton mwaka wa 1893. Kilabu kilikuwa kimeingia ligi ya kandanda ya Football Leagu mwaka uliotangulia na kuanza kukatiza uhusiano wake na bohari la reli, na ikawa kampuni ya kujitegemea, ikimteua katibu wa kilabu na kudondoasha herufi “L&YR” kutoka jina lao na kujiita Newton Heath F.C. Muda mrefu haukupita, mwaka 1902, kilabu kilikaribia kufilisika, kikawa na madeni ya zaidi ya £2,500. Wakati mmoja, uwanja wao wa Bank Street ulifungwa na wadai wao.[8]

Kabla ya kufungwa kabisa, kilabu kilipokea uwekezaji mkubwa kutoka kwa J. H. Davies, mkurugenzi mtendaji wa Manchester Breweries.[9] Kuna tetesi kuwa Harry Stafford, nahodha wa kilabu alikuwa akijivunia mbwa wake wa thamani wa aina ya St. Bernard katika mkutano wa kuchangishia kilabu fedha, wakati Davies alipomwendea ili kumnunua mbwa huyo. Stafford alikataa, lakini aliweza kumshawishi Davies kuwekeza katika kilabu na kuwa mwenyekiti wake.[10] Iliamuliwa katika kikao cha bodi ya mapema kuwa kilabu kilihitaji kubadilishwa jina ili kuashiria mwanzo huo mpya. Manchester Central na Manchester Celtic ni miongoni mwa majina yaliopendekezwa kabla ya Louis Rocca, mhamiaji mchanga kutoka Italy aliposema "Ndugu zangu, mbona tusijiite Manchester united?"[11] Jina hilo lilibakia hivyo, na Manchester United likawa jina rasmi tarehe 26 Aprili 1902. Davies pia aliamua itakuwa vyema kubadili rangi za kilabu, walitupilia mbalirangi za kijani na nusu dhahabu za Newton Health na kuchagua nyekundu na nyeupe kuwa rangi za Manchester United

Wikipedia
 

Similar threads

  • Sticky
Ulianzishwa mwaka 1880 kama St Mark's (West Gorton), ikawa Ardwick Association Football Club mwaka wa 1887 na Manchester City mnamo mwaka wa 1894. Uwanja wa nyumbani wa klabu ni Manchester Stadium huko Mashariki mwa Manchester, ambalo lilihamia mwaka 2003, Maine Road tangu 1923. Manchester...
Replies
6
Views
337
Have you never read this novel? Okay get in touch and discuss here
Replies
0
Views
326
Shalom wakuu Pamoja na kua serious na maisha mwili unahitaji ku refresh na refreshments moja wapo ni kucheza games. Hua nahakikisha PC yangu haikosi magemu haya japo ni ya zamani 1. GTA vice city 2.gta San Andreas 3.project IGI cover strike 4.project igi i am going in (the mark) 5.delta force...
Replies
7
Views
722
Je una maujanja yoyote kuhusu kamari za casino? Weka hapa Ndo mahala pake Kuna muda tunahitaji hupunguza stress baada ya mihangaiko ikiwemo kwenda casino. Nikizungumzia casino Kuna mambo mengi sana, bitches kamari pombe anasa na ushetani wa Kila aina Hapo kwenye kamari ndo NAkazia zaidi kwani...
Replies
13
Views
729
  • Sticky
FC Barcelona Even before they changed the football landscape by inventing the tiki-taka style of play, FC Barcelona have been known for their likable and highly watchable brand of football that always seemed to produce results. During their long and immensely successful history, they have won...
Replies
10
Views
296

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top