Mgeni nimefika tayari.

Karibu sana, mimi ndio nina ufunguo wa friji la humu ndani
 
wewe ni noma
Mara ya kwanza nilidhani huyu ni wa kiume ,nika relate jina bado jipya ,avatar nayo ni mpya ikanipa wakati mgumu ila baada ya comments humu wakati naperuzi nikagundua wa Kike nikacheki uzi wake mmoja humu nikagundua kuna mtu wa Kike anauzi unafanana na huu wa hapa hadi muandiko ni mmoja hapo nikapata hitimisho kuwa ni yeye.
 
good detective work
 
Similar threads

hodi hodi naingia, kijijini nimefika nimekuja tembelea, karibisho nalitaka kijiji kinavutia, nimepapenda hakika kijiji kipya kizuri, @Hakimu ututunzie
Replies
11
Views
272
Back
Top