Mwanaume Ndevu

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Mbali ya kuwa na ndevu hizi humfanya mwanaume avutie zaidi kwa mwanamke, hizi ni faida za kiafya za mwanaume kufuga ndevu;-

1. Ndevu hulinda uso dhidi ya kemikali hatari pamoja na hewa chafu ambazo kimsingi husababisha uharibu wa chembe chembe hai za mwanadamu. Pia husaidia ngozi ya usoisizeeke haraka, isiwe na mikunjo na kuifanya ngozi kuwa yenye kuvutia.

2. Ndevu huifunika ngozi ya uso, ambapo hulinda tezi za mafuta zishambuliwe na bakteria hivyo humfanya mtu asiwe na chunusi.

3. Kuweka uso wako joto na kulinda kidevu chako kutokana na hatari.

4. Ni kuzuia ugonjwa wa koo na ufizi.

5. Matatizo mengi ya mfumo wa upumuaji huzuiwa kwa kufuga ndevu.

6.Ndevu ni utambulisho wa mtu kuwa ni wa heshima kwa mwanamke.

7. Utafiti unasema kuwa kadri ndevu zinavyo kuwa nyingi ndivyo mtu anavyozidi kuwa na hekima.
 
Marekani wameshawahi kuwana njama za kumnyoa ndevu Fidel Castro.
 

Similar threads

Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Wakubwa shkamooni! Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani... Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa? Kwa sisi men tuko vizuri mno...
Replies
33
Views
714
Nawasalimu wakuu Swala la mahari limekua kipengele sana kwa vijana siku hizi wanalalamika kuwa kiasi ni kikubwa, wengine wanaona nikama imekua biashara yaani watoto wakike wamekua mtaji kwa wazazi wao... Ninacho taka kuuliza Ni sawa mwanaume kusaidiwa kutoa mahari na mpenzi wako wa kike? Je...
Replies
60
Views
542
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
911
Wanaume wengi waliooa hawapendezwi na urafiki kati ya wake zao na wanaume wengine. Wengine wanaenda mbali sana kukataza wake zao wasijichanganye na wanaume. Wanawake walio kwenye ndoa wengi wanajikuta marafiki zao wakubwa ni mashemeji zao na ndugu zao. Japo wanajichanganya na wanaume hukuti...
Replies
11
Views
293

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top