Nachotegemea kuona kwenye story

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,714
Reaction score
6,233
Points
113
Helli kwanza anza kwa kusoma jina la jukwaa kisha tuendeleee

Nategemea kuona pisi kaliiii siunajua Shujaaa wenu nipo single πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

What do u expect to see
 

Similar threads

Amani iwe nanyi wanakijiji Kwenye cheti cha kifo sababu ya kifo haundikwa, kama malaria, kujiua nk Je umewahi kuona cheti cha kifo cha ndugu , jamaa au rafiki? Kuna cheti niliona sababu ya kifo ikawa kutoa mimba na hiiilinipa kutafakari maisha ya dunia kwa mara ya pili. Kwa imani yangu...
Replies
14
Views
242
Kichwa kinajieleza, Kuna baadhi ya muvie na simulizi ukiziangalia basi unajikuta umewakubali sana baadhi ya wahusika. Kwa mimi ni kama ifuatavyo: 1. Pedro Alonso/Berlin - Money heist Jamaa ana calmness, man of action, genius na yupo very cold. 2. Tommy shelby - peaky blinders Huu ni mwamba...
Replies
7
Views
377
Nawasalimu, alafu moja kwa moja kwenye mada. Mungu amekuwa akikuonyesha kibali kila siku, je, unashukuru vya kutosha kwa kuona hivyo? Je, unaweza kuona hata ishara ndogo kabisa ya uaminifu Wake katika maisha yako? Siri ya kuwa na maisha utele ni kushukuru...... Yesu alipoinua ile mikate 5...
Replies
6
Views
402
Hamjambo? Mimi sijambo πŸ˜ƒ. Wakuu nimekutana na mjadala asubuhi wakati naelekea katika shughuli za watu hizi... Mjadala ulikua mzito, ndio mara ya kwanza kukutana na mjadala kila mtu anauchangia kwenye gari.. yaani walikua wanaushambulia haswaa.. Mjadala ulianza baada ya daladala nliyokua...
Replies
12
Views
425
Habari za muda huu all villagers. Kutokana ukuaji wa matumizi ya simu za mkononi na uwanda wake mpana wa matumizi mbalimbali applications mbalimbali zimetengenezwa kurahisisha mambo .Mimi hata nipoteze au ninunue simu mpya hizi ndizo orodha ya apps zangu ambazo haziwezi kukosa. 1.Whatsap ...
Replies
8
Views
614

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top