Naitwa Muhindi wa Kuchoma

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Mgeni nimekaribia Kijijini kwa majina naitwa Muhindi wa Kichoma. Nauliza kwa heshima zote napataje uplatinum member?
Screenshot_20230719_151153_Google.jpg

Naona kuna Senior member, platnum member na villager. Nataka kujua nawezaje kuwa platinum member?
 
Mgeni karibu zama humu ndani ya Kijiji.
Platinum Membership hutolewa kwa watu wanaotupa support kubwa Kijiji katika utangazaji wa hii forum.
 
Mgeni karibu zama humu ndani ya Kijiji.
Platinum Membership hutolewa kwa watu wanaotupa support kubwa Kijiji katika utangazaji wa hii forum.
Nashukuru sana kwa maelekezo nitaweka post na kusambaza link whatsapp group. Naomba unitumie link na ujumbe wake au nipost tu bila ujumbe?
 

Similar threads

  • Article Article
My life was turned upside down when I found out my father was a rich man. Growing up on the poverty line, I worked tirelessly to afford a college education, even doing my classmates' laundry to save up for a special gift for the girl of my dreams. However, my world came crashing down when I...
Replies
27
Views
923
Licha ya kwamba aina zaidi za tofali za kujengea nyumba lakini watu wengi hujiuliza sana kati ya tofali za kuchoma na tofali za bloku au tofali za simenti ni zipi bora zaidi? angalau zipi zinafaa zaidi kwa ujenzi? kuhusu kulinganisha gharama za hizi aina mbili.
Replies
14
Views
604
Tofali la kuchoma Hili ni tofali linalopatikana baada ya kutengeneza tofali la udongo na kulichoma kwa kutumia moto. Tanuri ya matofali unafunikwa kwa gana la udongo nje na chini yake moto inawaka kwa siku 2 au 3. Kutengeneza matoli wa njia hii ina gharama zaidi laini matofali yaliyochomwa...
Replies
0
Views
266
Back
Top