Nampenda Mpenda Sitaki Mwingine 🥰😍

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Miss KF

New member
Joined
Jul 19, 2023
Messages
16
Reaction score
55
Points
0
Weeee jua limekuchwa, macho ya mekataa kutoka kwake, mawazo yamekwama tatizo ni boss, kila nionapo neno lake moyo unahangaika, jamani nifanyaje

Nipeni mbinu nimwambie 🤷, namuona kama malaika kwangu dhambi hana

Sikia mpendwa wangu Hakimu mimi kwako nyang'anyang'a, live longer 😘🥰😍
 
Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Weeee jua limekuchwa, macho ya mekataa kutoka kwake, mawazo yamekwama tatizo ni boss, kila nionapo neno lake moyo unahangaika, jamani nifanyaje

Nipeni mbinu nimwambie 🤷, namuona kama malaika kwangu dhambi hana

Sikia mpendwa wangu Hakimu mimi kwako nyang'anyang'a, live longer 😘🥰😍
Ndio maana ukagoma kujibu message zangu PM?
 
Similar threads

Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
587

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom