Nani ni mwanamziki bora wa kike kuwahi kutokea?

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,617
Reaction score
26,429
Points
113
Wasalaam
Kumekuwa na ubishani mwingi kuhusu yupi ni mwanamziki bora wa kike kuwahi kutokea.

Kwenye Billboard Award Top Artist Taylor Swift amekuwa akiongoza kupata tuzo zaidi ya mara nne wakifatuwa na Christina Aguilera, Adele, Alicia Keys, Mariah Carey, and Rihanna.

Ila binafsi katika wanamziki wa kike ambao wanaimba kuliko mategemea
Christina Aguilera, Taylor Swift, Adele, Alicia Keys, Mariah Carey, and Rihanna.
  1. Aretha Franklin
  2. Whitney Houston
  3. Celine Dion
Whitney Houston- I will Always Love You
To view this content we will need your consent to set third party cookies.
For more detailed information, see our cookies page.

Aretha Franklin - Will Survive [The Aretha Version]
To view this content we will need your consent to set third party cookies.
For more detailed information, see our cookies page.

Celine Dion - My Heart Will Go On
To view this content we will need your consent to set third party cookies.
For more detailed information, see our cookies page.
 

Similar threads

Nikiwa mtoto nilikuwa na ndoto za kuwa daktari au engineer. Ukubwani nimekuwa mfanyabiashara, ingawa ndoto zangu za utotoni bado ziko moyoni mwangu. Nikitaka kusomea udaktari itanichukua miaka 3 ya diploma, miaka 5 degree, mwaka mmoja internship kitu ambacho naona ugumu kusoma, ilihali nina...
Replies
63
Views
2K
Kijana aliyekuwa karibu na dereva aliulizwa ni nani kwako anayeendesha? akajibu "kaka mkubwa wa mjomba wake na dereva ni mjomba wangu" Je dereva ni nani kwa kijana yule?
Replies
1
Views
194
Mwanamke pichani anataka kujiua kwa sababu mumewe anataka waachane kaparta mke mwingine. Je katika wanaume wanne yupi pichani yupi ni mumewe?
Replies
14
Views
339
Wakubwa shkamooni! Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani... Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa? Kwa sisi men tuko vizuri mno...
Replies
33
Views
714
MIMI ni nani? ili swali Yesu alilijibu vizuri, 👇👇 Mimi ni Mkate wa Uzima, Mimi ni Neno la Uzima; Mimi ndimi Roho wa Kweli; Mimi ni Uzima; Mimi ni Mchungaji Mwema, Mimi ni nuru ya ulimwengu, Mimi ndio njia kweli na uzima.. Je mwenzangu wewe ni nani? kumbuka wewe sio jina lako, muenekano, wala...
Replies
18
Views
517

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top