- Jul 9, 2023
- 3,821
- 3,805
- 113
Wakati unakuja ambao mtu ataweza kujua siku yake ya kufa na sababu ambayo itampelekea kifo. Kadiri sayansi inayokua kwa kutumia taarifa kutoka kwenye mwili wa mwanadamu kama umri wa kuishi na afya ya muhusika utatoa maelekezo kuhusu siku yake ya kufa.
Leo hii tumeona wagonjwa wa saratani na baadhi ya magonjwa wakipewa taarifa za muda waliobakiza duniani. Nilikuwa na mgonjwa wangu wa Ini dakatri akamuambia amebakiza majuma mawili tu ya kuishi. Haikupita mda mgonjwa wetu alifariki
Bila shaka, utabiri huo hautakuwa sahihi 100% kwani umri wa kuishi wa mtu hautegemei tu viashiria vinavyoweza kuchambuliwa ndani ya mwili kuna sababu ambazo ziko nje ya afya kama ajali, kuuliwa, kujiua nk.
Lakini je, kila mtu anataka kujua maisha yao yataisha lini na jinsi gani atakufa?
Je, badala yake, tutazingatia upya njia yetu ya maisha na kufurahia kila wakati wake?
Je, watu watahangaikia afya zaidi kujaribu na kubadili ubashiri, au ‘kwenda nje’ wakijua kwamba wana muda mwingi?
Maelezo kama haya yatakuwa salama na ya faragha kiasi gani na tunawezaje kuhakikisha kwamba hayatatumika kwa ulaghai?