- Jun 3, 2023
- 2,711
- 6,226
- 113
Last edited:
Mihogo inasemaje huko?pesa pesa pesa.....
leo nimekula ya 1000 saa 5 asubuhi.... ndo pasi ndefu mpaka kesho tenaMihogo inasemaje huko?
Utatufialeo nimekula ya 1000 saa 5 asubuhi.... ndo pasi ndefu mpaka kesho tena
haha una majungu na vijembe@Gily njoo sasa
bado mchango unahitajika wa ma modsUtatufia
oyaa nimecheka kwa nguvu sanaleo nimekula ya 1000 saa 5 asubuhi.... ndo pasi ndefu mpaka kesho tena
this life is a gambleoyaa nimecheka kwa nguvu sana
bora mniachishe kazi tubado mchango unahitajika wa ma mods
Hahahah umeona watu wanamawe hapo napambana nichukue hiyo no.1haha una majungu na vijembe
nilivyoamka usingizini ukaamua kunivuruga na mada ambayo unataka kupost online
but sio kwa ubaya, nakumbuka kuna kipindi nilikaa siku 2 bila kula chchte, siku niliyopata chakula mwili uligoma kukipokea yani nilikua natetemeka tu. Hahahahahaha aiseeoyaa nimecheka kwa nguvu sana
Source??Hiyo ni uongo @Hakimu cheki updated one hii hapa View attachment 223
Duuh pole mkuu, tuendeleze mapambano tu,leo nimekula ya 1000 saa 5 asubuhi.... ndo pasi ndefu mpaka kesho tena
kabisa mkuuthis life is a gamble
mihogo ya 1000 unashiba mbona ukikazia na majiDuuh pole mkuu, tuendeleze mapambano tu,
Mimi ningekula hiyo ningezimia duuh mbona pasi ndefu sana aseee,
@Hakimu ni hii
The 2023 List: Facts and Figures
Inside Forbes' 37th-annual billionaires ranking.
1.Bernard Arnault & family
$211 B
2
Elon Musk
$180 B
Tesla, SpaceX
3
Jeff Bezos
$114 B
Amazon
4
Larry Ellison
$107 B
Oracle
5
Warren Buffett
$106 B
Berkshire Hathaway
6
Bill Gates
$104 B
Microsoft
7
Michael Bloomberg
$94.5 B
Bloomberg LP
8
Carlos Slim Helu & family
$93 B
Telecom
9
Mukesh Ambani
$83.4 B
Diversified
10
Steve Ballmer
$80.7 B
Microsoft
Read more here
Duuh sawasawamihogo ya 1000 unashiba mbona ukikazia na maji
Asee,but sio kwa ubaya, nakumbuka kuna kipindi nilikaa siku 2 bila kula chchte, siku niliyopata chakula mwili uligoma kukipokea yani nilikua natetemeka tu. Hahahahahaha aisee
Updated thanks
ttuko pamoja braza... they'll never see us comingbut sio kwa ubaya, nakumbuka kuna kipindi nilikaa siku 2 bila kula chchte, siku niliyopata chakula mwili uligoma kukipokea yani nilikua natetemeka tu. Hahahahahaha aisee
Asake ft fireboy dml - bandanathey'll never see us coming
ndio mkuu hizo ngoma ndo zinatusogezea siku na kutu-inspire.... kaskilize na 'i believe' ya asakeAsake ft fireboy dml - bandana
Acha nii download,ndio mkuu hizo ngoma ndo zinatusogezea siku na kutu-inspire.... kaskilize na 'i believe' ya asake
Saizi nipo naskiliza all my life ya lilly durk na j.colettuko pamoja braza... they'll never see us coming
ukimaliza skiliza 'rags to riches'-rod wave ft lil baby.... itakugusa sanaSaizi nipo naskiliza all my life ya lilly durk na j.cole
a very inspiring and touching song...
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.