- Jun 4, 2023
- 251
- 571
- 0
Shalom wakuu
Pamoja na kua serious na maisha mwili unahitaji ku refresh na refreshments moja wapo ni kucheza games.
Hua nahakikisha PC yangu haikosi magemu haya japo ni ya zamani
1. GTA vice city
2.gta San Andreas
3.project IGI cover strike
4.project igi i am going in (the mark)
5.delta force.
Hizo games ni kwa category ya action na zinachezeka hata kwa low end PCs hazina specifications kubwa.
6.need for speed underground
7.need for speed Porsche
8.need for speed hot pursuit
9.need for speed most wanted
10.Euro truck simulator (hili ni kubwa kidogo na kina mods nyingi
11.American truck simulator (hili Lina features zote za euro truck simulator kasoro map unatumia ya bara la america pekee)
Haya ni kwa upande wa racing Yana low specifications pia ni affordable kwa bando hizo za sasa
12.fifa 2014 (hii ni fifa ya zamani kidogo ila kwa malegend wa soka ndo tunaikubali ni GB nne tu tofauti na fifa hizi mpya 2020-2023 gb 20+ afu pia sio Bure unatakiwa kulinunua kwenye ea sports official site.
13. Pes
14.fifa 2015
Hizi games ni kwa upande wa sports.
Hakikisha PC yako inamiliki moja kati ya magemu hayo.
Pia window Bora kwa mtu wa software na games ni 7 Professional pekee hizi zingine utapata tabu sana utainstall game afu zitaliwa na window protection hasa window 8