Somo gani ulilipenda ila lilikukataa secondary

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Yohana deogratius

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
2
Reaction score
3
Points
0
Ukiwa mtoto mdogo ukiulizwa unahitaji kuwa nani wewe ulikuwa unajibu nini? Kwa upande wangu nlikuwa nataka kuwa dokta mara pirot mara engineer n.k nlikuwa sina muelekeo kwa sababu ya kukosa msimamo kamili but most of time nlitaka kuwa dokta lakini ugumu wa masomo ya physics na biology yakanilazimu nihame pcb na kuelekea kombi nyingne ya biashara na technology. Je wewe masomo gani yalikufanya uhame ktoka kwenye ndoto yko na sahv uko wapi???
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
somo ambalo halikunikubali ni history na kiswahili Haya masomo sikufanya vizuri ukilinganisha na masomo mengine
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
hua najiuliza sana watu wanaofaulu vipi physics,,, yani sijawahi kupata majibu kabisa
 
Last edited:

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
@Hakimu hilo somo halinaga undugu,, yani fiziksi acha tu 🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Advance nilisoma PCB ila chuo nikaenda biashara. Binafsi I was fascinated by physics still am but iko juu ya uwezo wangu.

In fact I believe physics is the mother of all subjects as it deals with bigger things like how the world started? how the universe existed? and those who believe it happens after a big bang, where is it going?
I am also curious about string theory, and pounder if there is parallel universe that exist within this universe.

I am also interested to know more about Dark matter, and if I was physicist I bet I will base in theoretical part.
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
acha wale tabu kwanini wao wanajua vitu ambavo watu wengi hawajuii☺☺....
Nakumbuka nilikua sipendi hesabu mimi.kuna kipindi hadi headmaster alikua ananipa macounterbook nikiweza kusolve na kujaza counter kwa siku tatu ananipa el10,, nilikua nawapa watu waandikeandike halafu najipatia hela😃😃😃 alivyonistukia nilichapwa hatari😌
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
Advance nilisoma PCB ila chuo nikaenda biashara. Binafsi I was fascinated by physics still am but iko juu ya uwezo wangu.

In fact I believe physics is the mother of all subjects as it deals with bigger things like how the world started? how the universe existed? and those who believe it happens after a big bang, where is it going?
I am also curious about string theory, and pounder if there is parallel universe that exist within this universe.

I am also interested to know more about Dark matter, and if I was physicist I bet I will base in theoretical part.
Kwenye maisha yangu sijawahi penda physics na math..ila ni kama nilikua na mkosi nayo hayo masomo coz hamna level ambayo nimesoma bila kuyagusa...nakumbuka advance nilisoma PCB nlikua nakua wa mwisho kila siku kwenye BAM😌
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Kwenye maisha yangu sijawahi penda physics na math..ila ni kama nilikua na mkosi nayo hayo masomo coz hamna level ambayo nimesoma bila kuyagusa...nakumbuka advance nilisoma PCB nlikua nakua wa mwisho kila siku kwenye BAM😌
haha BAM nilikuwa naongkoza sijawah anguka kwenye math kuanzia la kwanza mpaka chuo
Katika somo nikirudi shule sitafabya vibaya ni mathematics
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Nakumbuka nilikua sipendi hesabu mimi.kuna kipindi hadi headmaster alikua ananipa macounterbook nikiweza kusolve na kujaza counter kwa siku tatu ananipa el10,, nilikua nawapa watu waandikeandike halafu najipatia hela😃😃😃 alivyonistukia nilichapwa hatari😌
aisee huyo head master, mtafte tu siku umepata kibundaa,, anastahili kupewa asante
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
naedit video za youtubers

oya muvi inaeditiwa mwaka mzima na team ya editors wasomi, uschukulie poa😅
we dogo you can make a lot of money with YouTube video hii fursa nzuri sana
 
Similar threads

Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
269
Replies
8
Views
479
Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda ila sio usaliti. Ukweli hauwezi pingika mapenzi yanauma sana. Ikitokea umemfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwanaume au mwanamke mwingine utachukua maamuzi gani?
Replies
14
Views
557
Umwa sana Hitaji pesa Anzisha biashara/shughuli yenye kuwahitaji sana Oya wakuu hii ni quote tu marafiki wapo na wanafiki wapo watakupenda kwa namna flani ila baada ya muda hawako na wewe Tupambane together tuijenge KF as members
Replies
11
Views
312

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom