Tangazo la Kazi: Nahitaji Vijana

Status
Not open for further replies.

Single time

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
106
Reaction score
281
Points
0
Wana kijiji kama una kijana mwaminifu na anaweza kufanya kazi vizuri yupo tu hana kazi anicheki pm nahitaji vijana kama wa 7 hivi wawe wanaishi Dar

Vijana kesho waje ofisini kuanza kazi tutawapa training kuhusiana na kazi husika. Pia nahitaji vijana walipo Tanga wawe wengi kidogo hawa kazi yao itaanza mwezi huu wasuniri maelekezo

Kuhusu mshahara tunalipa kulingana na dodos ambapo huwa zina badilika sisi hatuna mshahara tunalipa wages lakini pia mtu huyo awe na NSSF kadi na TIN number kutoka TRA

Please vijana wwe mwaminifu na kazi zetu mara nyingi ni nje ya mkoa please awe mwaminifu sito pendezwa nikipata kijana aje anisumbue au mtu unampa training anakimbia mitini nawasilisha kwenu.
 
Ngoja nitampigia simu mleta mada nikitulia niwaletee mrejesho
 
Kazi gani sio ikawa ya kutoaa mbwa njee
 
Status
Not open for further replies.

Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
127
Niaje? Hope uko gudi kama mimi.. Wadada wa kazi maarufu kama beki tatu wamekua msaada sana katika familia zetu, hii ni kwasababu ya ubize wa kutafuta maisha kwa wana familia(mme&mke).... Changamoto inakuja pale tuu unapopata dada wa kazi ambaye ni kichomi, yaani mauza uza yakutosha... Ndugu...
Replies
33
Views
442
habari zenu hii ni true story by manenge. leo nimeona niwape japo kwa kirefu sana kuhusu hii kazi yangu ya professional tour guide,kwa majina yangu nileyepewa na wazazi wangu naitwa raymond joseph mushi,nimzaliwa wa machame. nimeona ni share nanyi ilimjue kuhusu hii kazi ambayo haina...
Replies
43
Views
1K
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.... Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula? Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
Replies
26
Views
441
Afya ni Afya wote tutakufa . Wanakijiji habari zenu , Mimi najua waliowengi kwa wanakijiji mmesafiri vijijini na mijini , leo mwenzenu naikumbusha tena serikali kuwa hawa watu wa afya hasa kwenye hizi zahanati ni wazi kuwa wengi wao ni watabibu . Nisichoweza kupinga ni kuwa kwenye ulimwengu wa...
Replies
16
Views
266

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top