Tujikumbushee

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Mambo tunayochukulia kawaida ila yanamdhara...

1) Utumiajiwa vidonge vya kuzuia mimba p2/morning pills, sio kwajili ya uzazi wa mpango bali ni kwa dharura tu,,
Inashauriwa usitumie zaidi ya mara mbili kwa mwaka...

2) Kusikiliza muziki sauti ya juu kupitia, earphones au headphones kila wakati...
Inashauriwa kuzitumia kwa sauti ya chini, au kawaida, na sio muda wote..

3) Matumizi ya mswaki wa meno zaidi ya miezi mitatu,,
watu wengi wanatumia mswaki hadi unapinda hii sio nzuri kwa afya
Inashauriwa kutumia mswaki miezi mi tatu kisha ubadilishe

4) Inashauriwa umbali kati ya macho na pc/laptop uwe kati ya 20 na 40 inchi au (50 na 100 cm)
ili kuepusha kupata matatizo ya macho, pia umbali wa macho na screen ya tv uwe mara sita ya ukubwa wa sreen(wima)
kwa afya ya macho yako..

5) Mda wa kunywa maji baada au kabla ya kula, inashauriwa kunywa maji baada ya dakika 20 ukisha kula au dakika 30 kabla ya kula.

6) Kwa watumiaji wa simu, inashauriwa kuto tupa vocha uliyo kwisha itumia mahali ni mahali, pia kuto weka line uliyo okota kwenye simu yako, au kuweka line yako kwenye simu uliyo okota, ili kuepuka kuingizwa katika kesi usizo zijua, mfano wizi, mauaji, utapeli n.k

7) Inashauriwa kuto chaji simu usiku kucha karibu na sehemu unayo lala(kitandani, pembeni ya kitanda nk) kumekua na matukio ya simu kulipuka mara kadhaa wakati wa kuchajiwa....
lipi ni jambo linalochukuliwa kawaida ila linapaswa kufanywa kwa uangalifuu?...
Au mnatakaa na picha?
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
8)kutokufanya ngono kabla ya ndoa, inashauriwa ufanye ngono kabla ya ndoa ili uweze kujua mapendeleo yako, na pia ili muweze kuzoeana kwa wale ambao mna lengo la kufunga ndoa, msije mkaingia kwenye ndoa ukakuta flani hamridhishi flani
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
8)kutokufanya ngono kabla ya ndoa, inashauriwa ufanye ngono kabla ya ndoa ili uweze kujua mapendeleo yako, na pia ili muweze kuzoeana kwa wale ambao mna lengo la kufunga ndoa, msije mkaingia kwenye ndoa ukakuta flani hamridhishi flani
umetoa wapi hii, mi najua utakiwi kukutana na mtu kabla ya kuoana, wote muwe mabikra(kama mimi) ili mkiingia huko kwenye ndoa mkuze cv sio mwenzako cv yake page 50 ww fresh from skul
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
j
9)mwanaume usimuingilie mwanaume mwenzako au mwanamke kinyume na maumbile utapata matatizo ya tezi dume au njia kuziba,utashindwq kupushi mkojo kwanguvu na kuishiwa nguvu za kiume kabisa,anayefirwa atakuwa anainyea bila kujua yani akikaa akitembea muwaro
heee!😯
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Acha uongo
umetoa wapi hii, mi najua utakiwi kukutana na mtu kabla ya kuoana, wote muwe mabikra(kama mimi) ili mkiingia huko kwenye ndoa mkuze cv sio mwenzako cv yake page 50 ww fresh from skul
hata mimi nimemkatalia
kama wote ni mabikra subirini, ila kama sio, kuna hatari....

sexual compatibility ni jinsi mnavoendana kingono, msipopimana mnaweza kuja kujuta.... ndo maana nkasema labda wote muwe mabikra
 

Urban Edmund

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 26, 2023
Messages
636
Reaction score
1,321
Points
0
kama wote ni mabikra subirini, ila kama sio, kuna hatari....

sexual compatibility ni jinsi mnavoendana kingono, msipopimana mnaweza kuja kujuta.... ndo maana nkasema labda wote muwe mabikra
Wote kuwa mabikira ni kazi sana ajitahidi awahi kuoa nimekaa pale nasubiri kuona kama mlokole bikira miaka hii 2 kati ya 10
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
10) Kuona mwenzio anafaidi husda na tamaaa roho mbaya n.k
 

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom