- Jul 8, 2023
- 1,320
- 2,995
- 0
Una masihara wewe nimekuambia upande wa kulia Acha hizoMbona sioni anaelia?
Una masihara wewe nimekuambia upande wa kulia Acha hizoMbona sioni anaelia?
utani tuu mkuu, hata mdogo wangu mwembamba ila mtu peace sanaOya utaumia mzee sisi watu wembamba tupo peace sana
Aaaa hahaaUna masihara wewe nimekuambia upande wa kulia Acha hizo
Ukitaka kumuona shetani tafuta movie ya bird box barcelona 2023Aaaa hahaa
awa jamaa ndio walisababisha kile kituo kikaitwa KWAMREFU
Huyo wa kulia anaitwa hakimu akiwq na gilly baada ya kutoka kufungua kijiji forum juzi katiawa jamaa ndio walisababisha kile kituo kikaitwa KWAMREFU
Maelezo kidogoUkitaka kumuona shetani tafuta movie ya bird box barcelona 2023
awa jamaa ndio walisababisha kile kituo kikaitwa KWAMRE
Movie kali sana watu hawaruhusiwi kufungua macho,ukifungua macho unakutana na kitu cha ajabu alafununajiua mwenyewe either kwa kujichinja au kijipigiza chini mauajiji yeyote ili mradi ufeMaelezo kidogo
hamana kumeingiliwa na kila kimoW
Wote wanaoishi pale ni warefu kweli??
NitaitafutaMovie kali sana watu hawaruhusiwi kufungua macho,ukifungua macho unakutana na kitu cha ajabu alafununajiua mwenyewe either kwa kujichinja au kijipigiza chini mauajiji yeyote ili mradi ufe
Nzuri sanaNitaitafuta
Basi wapaite wafupi na warefuhamana kumeingiliwa na kila kimo
makonda wa daladala awata kubali, maana itakuwa inawamalizia nguvu na mudaBas
Basi wapaite wafupi na warefu
Basi sasa hivi wapaite kwa wafupi labda baada ya mika 60 ndio waje wapaite tena kwa mrefumakonda wa daladala awata kubali, maana itakuwa inawamalizia nguvu na muda
maite mtu wa kimo cha kati(kifupi KCK)Basi sasa hivi wapaite kwa wafupi labda baada ya mika 60 ndio waje wapaite tena kwa mrefu
Hilo ni group la hip hop americamaite mtu wa kimo cha kati(kifupi KCK)
ni hapa bongo kirefu chake ni kid can killHilo ni group la hip hop america
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.