Ulikuwa na swagger gani shuleni?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Waraap

Wakati niko shule nilikuwa nachomekeq shati mbele tu🤣 Kipindi hicho ilikuwa swagger kinyama.

Wenzangu na mimi ambao tushawahi vaa durak mpo humu😀

Hebu tueleze ulikuwa na swagger zip kipindi uko shule ?
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Kama nakuona vile hujawahi vaa socks na Tai unaivaa kichwani😬
Tai sivai ila soksi nilikuwa navaa ila sikumojamoja ndio sivai maana tumiguu twangu kama twa rango
jessica chastain foot GIF
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
1. kuvaa flana kila siku , sikupenda shati ps: mvivu kufua
2. kuvaa sendozi chini, sikupenda viatu vya kufunika
3. kukunja suruali mpaka kwenye magoti, ili iwe kama kaptula
Hii ilikiwa government school kabisa st kayumba

nimesoma jeshini ulikiwa ukikutwa umevaa sandals utajua hujui
 

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Waraap

Wakati niko shule nilikuwa nachomekeq shati mbele tu🤣 Kipindi hicho ilikuwa swagger kinyama.

Wenzangu na mimi ambao tushawahi vaa durak mpo humu😀

Hebu tueleze ulikuwa na swagger zip kipindi uko shule ?
Mzee hahahaaa! Umeamua kuweka uzi kabisa 🤣🤣🤣

Mimi nilikua mtu wa kuvaa raba sana Adidas,all star na timberlands buti nyeusi...Deile lazima nipigishwe pushUp...Lkn sikuacha kuvaa hadi walinizoea....

Teacher kisonga alikua anaruka na mimi hadi alichoka akamua niwe rafiki yake...

Bila kusahau kitambaa changu kinaning’inia nyuma ya mfuko wa suruali...🤣🤣🤣
 
Last edited:

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mzee hahahaaa! Umeamua kuweka uzi kabisa 🤣🤣🤣

Mimi nilikua mtu wa kuvaa raba sana Adidas,all star na timberlands buti nyeusi...Deile lazima nipigishwe pushUp...Lkn sikuacha kuvaa hadi walinizoea....

Teacher kasongo alikua anaruka na mimi hadi alichoka akamua niwe rafiki yake...

Bila kusahau kitambaa changu kinaning’inia nyuma ya mfuko wa suruali...🤣🤣🤣
Hizi pigo zako nazikumbuka unavaa Raba, ulikuwa na Raba flani hivi nyeupe na mlegezo na unaweka likitambaa jekundu mfuko wa nyuma

dah ulikuwa na mikelele sana shule na fujo nyingi.

Unamaanisha teacher kisonga?
 

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Hizi pigo zako nazikumbuka unavaa Raba, ulikuwa na Raba flani hivi nyeupe na mlegezo na unaweka likitambaa jekundu mfuko wa nyuma

dah ulikuwa na mikelele sana shule na fujo nyingi.

Unamaanisha teacher kisonga?
Huyo huyo kisonga na miwani yake ameishusha puani...Akikukata jicho lazima uvurugwe kidogo...🤣🤣🤣

Sio likitambaa sema daleck!
 
Last edited:

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Yule mjinga wakati tuko form four alipiga fimbo wanafunzi zaid ya 400. Tena fimbo sio chini ya kumi. Alikuwa mshenzi mshenzi
Kuna siku alinibamba na mlamate messi chitete dah! Niliomba aridhi ipasuke nizame chini! Aisseee! Kule displini ofisi nilishambuliwa hatari....Kenya man! Malongoli, Bosco mzee wa totoz na yeye kisonga walinipa mikwaju ya kimataifa.....Ishu ikaja kuvuja kumbe na wao walikua wanamtaka yule manzi 🤣🤣🤣
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
nilikua;
1. nadodge mazoezi ya jogging kwa kujibana nyuma ya ukuta wa choo
2. sivai tie na gwaride na dodge ili nisidakwe
3. chakula sili dh napanda nacho darasani
4. nauza ma illegal kwa bei mara mbili yake, tulikua tunaita black market
5. nadogde kazi za manual work kwa kujibana dom na chooni....
6. nadodge misa za kanisani nalala
7. nilikua nakopesha wanafunzi wenzangu kwa riba, sema hii kidogo nifukuzwe😂

sema sikuwahi cheat mtihani aisee hiyo ndo niliogopa
 

Similar threads

Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.... Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula? Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
Replies
26
Views
440
Ukweli usio pingika kuwa wanaume karibia wote walishawahi kujihusisha na kitendo cha kujichua Humu kunawatu wazima je ni jinsi gani kwa mtu ambaye anapanga kukutana na mtu kimwili anaweza kamatia goma bila kuharibu show Nipeni njia gani na mazoezi ya kufanya, jinsi ya kubehave wakati wa...
Replies
15
Views
268
Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
269
Replies
8
Views
479

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom