Ulikuwa na swagger gani shuleni?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
🥹 🥹 🥹 wazaramo laini laini kama wa Tumbatu, naruka nao kininja
mie mwenyewe mtoto wa mbwa
mzee unatembea na mafuta ya baby care for so many reasons 🤣
 

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Kuna jamaa anaitwa @D'UsséV$OP Cognac alikuwa mkorofi nimesoma nae kipindi hicho
Dah! Hii sifa ya kijinga sana mbona unawekea mkazo sana wewe jamaa!

Mbona mimi sisemi kuwa ulikua unaogopa mademu na kunasiku tulikusakizia yule demu white hivi mwemba tukamwambia umesema unampenda na unataka uongee nae ila alipokufuata ukaanza kulia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahahaaaa bisha na hii 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Dah! Hii sifa ya kijinga sana mbona unawekea mkazo sana wewe jamaa!

Mbona mimi sisemi kuwa ulikua unaogopa mademu na kunasiku tulikusakizia yule demu white hivi mwemba tukamwambia umesema unampenda na unataka uongee nae ila alipokufuata ukaanza kulia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahahaaaa bisha na hii 🤣🤣🤣🤣🤣
alaaa unataka tuanze kutungiana vitu mzee🤣 tufanye yaishe basi
 

Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Sikuwa na swagger yoyote ile maybe
A level na O level
1.mcheshi kupindukia. Matani kaa yote
2.sipasi nguo aka rough guy.
3.mlafi kupindukia.
4.kudiss na kitukana walimu vibaya.
5.domo zege lenye kuogopa mademu
 

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
alaaa unataka tuanze kutungiana vitu mzee🤣 tufanye yaishe basi
Sio kutungiana inamaana umemsahau sophia kale kademu kembamba cheupe hivi kalikua kasistaduu kweli nahisi ndio maana uliogopa ukalia siku ile 🤣🤣🤣🤣🤣 ulituchekesha sana wakati tumetoka tukiwa tunatembea kwenda mwenge ulikubali ukasema kweli unampenda ila unamuogopa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Last edited:

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Sikuwa na swagger yoyote ile maybe
A level na O level
1.mcheshi kupindukia. Matani kaa yote
2.sipasi nguo aka rough guy.
3.mlafi kupindukia.
4.kudiss na kitukana walimu vibaya.
5.domo zege lenye kuogopa mademu
dah ulikuwa nunda 😊
 

Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
dah ulikuwa nunda 😊
Acha tu alafu Nimesahau pia sisi ndo wale tunaofeligi mitihani ya shule yote

Alafu necta tunaibukia na division 1 from no where, 🤣🤣🤣🤣

Daaah maisha ya shule acha tu, aseee
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Acha tu alafu Nimesahau pia sisi ndo wale tunaofeligi mitihani ya shule yote

Alafu necta tunaibukia na division 1 from no where, 🤣🤣🤣🤣

Daaah maisha ya shule acha tu, aseee
aah matango pori yanasaidia sana kupata division one
 

Poor brain

New member
Joined
Jul 3, 2023
Messages
120
Reaction score
344
Points
0
Secondary
-Kuvaa model don't touch toka naanza secondary..
-Kuchomelea shart upande mmoja wa shart
-Kuwa na lab coat yenye mikono mifupi
-Kuongea story mda wa prepo mda ambao watu wapo kimya na wote walikua wanasikiliza 🤓🤓🤓

Primary...
-Kuvaa msuli siku za weekend
-uwongo mwingi
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Secondary
-Kuvaa model don't touch toka naanza secondary..
-Kuchomelea shart upande mmoja wa shart
-Kuwa na lab coat yenye mikono mifupi
-Kuongea story mda wa prepo mda ambao watu wapo kimya na wote walikua wanasikiliza 🤓🤓🤓

Primary...
-Kuvaa msuli siku za weekend
-uwongo mwingi
Umekaa boarding sana inaonekana dah wazazi walikuwa hawakutaki home kabisa kwa ukorofi
 

Similar threads

Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.... Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula? Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
Replies
26
Views
440
Ukweli usio pingika kuwa wanaume karibia wote walishawahi kujihusisha na kitendo cha kujichua Humu kunawatu wazima je ni jinsi gani kwa mtu ambaye anapanga kukutana na mtu kimwili anaweza kamatia goma bila kuharibu show Nipeni njia gani na mazoezi ya kufanya, jinsi ya kubehave wakati wa...
Replies
15
Views
268
Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
269
Replies
8
Views
479

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom