Ulipaswa kulipia ila ya fahamu mambo haya bure kabsa...

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Hamjambo(msijibu)...

Je umeshawai jiuliza kwanini na kupiga kooote mswaki lakini bado meno yanazidi kuwa ya njano?

Na wengine mmeenda mbali kabsa mkatukana hadi kolugeti na waitidenti kwamba ni matapeli,,
Sasa mimi nataka nikupige na kitu kizito kichwani,,,,

Ukitaka kufanya meno yako yawe meupee peee ni rahisi tuu yaani... kama hivii👇👇
#moja~ chukua kioo angalia rangi ya meno yakooo

#mbili~Weka dawa ya meno( maarufu kama dawa ya mswaki) mdomoni

#tatu~ ukisha weka iyo dawa mdomoni iache kama dakika moja au mbili

#nne~ baada ya dakika moja au mbili kuisha anza kubrashi meno yako sasa

#tano~ ukisha maliza kubrashi meno yako na kusukutua vizuri, Chukua kioo angalia tena meno yako, utagungua kuna changes kubwaa...

#sita~ endelea kufanya hivo mpaka utakapoona umerizika na weupe unao utaka..

NB; watu wengi wana haraka na spidi wakati wanapiga mswaki, awaachi hata dawa ifanye kazi yake ya kulainisha uchafu kwenye meno ndio waubrash..
 
Last edited by a moderator:
Amjambo(msijibu)...

Nimepata maarifa mapya leo, shukran sana, ukifa huozi.
 
Yani rangi ya njano itoke kwa dawa tu nakupa big no
 
Similar threads

  • Sticky
Ukiwa mtoto mdogo ukiulizwa unahitaji kuwa nani wewe ulikuwa unajibu nini? Kwa upande wangu nlikuwa nataka kuwa dokta mara pirot mara engineer n.k nlikuwa sina muelekeo kwa sababu ya kukosa msimamo kamili but most of time nlitaka kuwa dokta lakini ugumu wa masomo ya physics na biology...
Replies
32
Views
462

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top