Umewahi kujaribu au kufikiria kujiua? Au uko kama mimi.

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Nkewaisana(Nawasalimu)

Leo nimetoka kwenye msiba kumzika kijana aliejiua kwa kunywa sumu..
Tukio hili sio la kwanza yako mengi tu, na mengine ni ya watu maarufu kama yule aliye jitupa kutoka ghorofani..

Watu wengi wanadai kuwa ni ugonjwa wa akili, na mimi nakubali kwasababu nishaona watu wa hivo wakijaribu mara ya kwanza na ya pili ya tatu wanapita hivi..

Sababu zingine zinazo daiwa kupelekea watu kukataa ugali(kujiua), ni pamoja na matumizi yaliypo pitiliza ya pombe na madawa ya kulevya, kukosa matumaini, maumivu makali( ya mapenzi au ugonjwa au usaliti) upweke, kukosa msaada n.k.

Ila hata kama maisha ni magumu kiasi gani sio vema kujitoa uhai, kuna mambo mengi yanaleta raha kwenye hii dunia jamani, nikifikiria kwamba kuna siku ntadedi nashtuka... Napenda kuishi, napenda sana kuishi,..

Yaani nijiue alafu nimwachie nani kuogelea? Yaani niache vuruga kweli? Hapana bado natamani kwenda live band jamanii...
 
Kuna watu wanapitia mambo mengi kupelekea kutakaa kujiua. Nishawaza kujiua nikakumbuka kitu nikacheka nikaendelea na stress zangu

Nini nilikumbuk?
Nilikumbuka baba yangu mdogo alijaribu kujiua kwa kutumia shati. Akajifunga shingoni akajining'iniza kwenye kona ya mlango huku tunaona. Aliweweseka na kujamba jamba hakurudi tena. Japo lilikuwa jambo la kusikitisha tulicheka sana. Hakurudia tena

Nadhani lile jambo la kutaka kujiua kama limempa laana hawezi kaa nyumbani anazurura tu huko mikoani.
 
Nishawaza kujiua nikakumbuka kitu nikacheka nikaendelea na stress zangu
Kuna mambo mengi ya kufanya mtu uachane na kujinyonga yapo meng...

Akajifunga shingoni akajining'iniza kwenye kona ya mlango huku tunaona. Aliweweseka na kujamba jamba hakurudi tena. Japo lilikuwa jambo la kusikitisha tuliche
Mtu atajinyonga mbele za watu?
 
Kuna watu wanapitia mambo mengi kupelekea kutakaa kujiua. Nishawaza kujiua nikakumbuka kitu nikacheka nikaendelea na stress zangu

Nini nilikumbuk?
Nilikumbuka baba yangu mdogo alijaribu kujiua kwa kutumia shati. Akajifunga shingoni akajining'iniza kwenye kona ya mlango huku tunaona. Aliweweseka na kujamba jamba hakurudi tena. Japo lilikuwa jambo la kusikitisha tulicheka sana. Hakurudia tena

Nadhani lile jambo la kutaka kujiua kama limempa laana hawezi kaa nyumbani anazurura tu huko mikoani.
Hayupo hata mmoja miongoni mwa niliowaona baada ya kunisurika kupona hawakuacha kuweweseka na hawakuwai kutulia kujenga maisha , ni kama akili inakuwa haijatulia lakini sababu za watu kujiua ni nyingi mno
 
Inakuaga kama pepo lazima waje kujimaliza tu
 
Enzi nasoma, kuna binti mmoja alijaribu kujiua kwa kunywa Dettol sababu ikiwa kutofanya vizuri sana darasani Ile hali ya jina lake kuonekana la mwisho kila wakati ilisababisha mawazo hadi kunywa Dettol.

Baadae wazazi waliitwa wakamiuamisha maana hakuwa anataka tena kusoma😞😞
 
😀😀kuna vichwa havikubaligi elimu tu,, hata wasome kwa kuloweka miguu kwenye maji...
Kuna shule(Inglishi midiamu) nilienda kama fundi nkaambiwa nirekebishe mlango kwenye darasa la "ICU"
baadae nkamuuliza mwalimu kwanini wanaita ICU akasema ilo ni darasa la vilaza yani A wala B aisomi.. nikama wametengwa ili wasifanyeshule kuonekana ya mwisho, yaani nikama awatambuliki....
nlijiuliza moyoni hivi wazazi wa hawa watoto wanajua kweli?
 
Ukute mzazi anaambiwa mtoto wako anaandikishwa katika darasa maalum maana baadhi ya mada hazielewi vizuri yani watatafuta maneno mazuri yakumshawishi mzazi akubali na alipie kama hayo masomo ni ya muda wa ziada.

Huku mzazi unajua darasa maalum kumbe inaitwa ICU kishule shule
 
Hizi shule zina mambo sana... nadhani ao wa ICU daftari zao zitakuwa ni tiki kila kurasa, kurizisha wazazi..
 
Similar threads

Amani iwe nanyi wanakijiji Kwenye cheti cha kifo sababu ya kifo haundikwa, kama malaria, kujiua nk Je umewahi kuona cheti cha kifo cha ndugu , jamaa au rafiki? Kuna cheti niliona sababu ya kifo ikawa kutoa mimba na hiiilinipa kutafakari maisha ya dunia kwa mara ya pili. Kwa imani yangu...
Replies
14
Views
242
Back
Top