Una marafiki wa kushibana?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Ni jambo zuri kuwa na marafiki mkiwa mnasaidia na kushirikiana kwenye maswalq mbali mbali. Nikiwa mdogo nilikuwa na marafiki wa kutosha. Baada ya kuhama nilipokulia nimejuana na wengi bado siwezi waita marafiki.

Mda mwingine najiuliza hivi nikienda kuoa nitasindikiza na nani? Nimejaribu kutafuta rafiki hata mmoja kazi bure. Kuna sehemu nikasoma ukiwa mkubwa uwezo wa kutengeneza marafiki unapungua. Mtoto mdogo anaweza tengeneza marafiki popote pale anapoenda ila mkubwa ni ngumu

Je una marafiki? Una marafiki wa kushibana hata kukutetea pale inapohitajika?
 
Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Ni jambo zuri kuwa na marafiki mkiwa mnasaidia na kushirikiana kwenye maswalq mbali mbali. Nikiwa mdogo nilikuwa na marafiki wa kutosha. Baada ya kuhama nilipokulia nimejuana na wengi bado siwezi waita marafiki.

Mda mwingine najiuliza hivi nikienda kuoa nitasindikiza na nani? Nimejaribu kutafuta rafiki hata mmoja kazi bure. Kuna sehemu nikasoma ukiwa mkubwa uwezo wa kutengeneza marafiki unapungua. Mtoto mdogo anaweza tengeneza marafiki popote pale anapoenda ila mkubwa ni ngumu

Je una marafiki? Una marafiki wa kushibana hata kukutetea pale inapohitajika?
Nina mmoja tu.

Tumesoma wote since o level to A level.

Matokeo yetu na akili zinafanana.

Chuo tupo tofauti yy mbeya mm dsm ila course ni moja.

Sema yy kanizidi kitu 1 tu yy ana nyota ya kupendwa na madem wazuri japo nimemzidi kila kitu.

Ila ndo hivyo. Daaah jamaa sijui anatumia nn yule 😊🤠
 
Similar threads

Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.... Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula? Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
Replies
26
Views
440

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom