UNAWEZA KUTEMBEA BILA CASH?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Ukiwa unakibunda(pesa) mfukoni kuna namna mtu unakua na ujasiri wa kutembea hata tabasamu linakuja kirahisii😁 (au nasema uongo wanakijiji? 🥳🤠)

Ila unapokua huna pesa mfukoni yani unakosa ujarisi kabisaa, yani unaingia kwenye daladala unaiangalia kila saa isije tokea imepotea,

wanasema beba cash uwezi jua kitakacho tokea huko uendako..

Vp unaweza tembea road kama huna cash? au ukiwa huna ni bora ukae home😂😃😃
NAWASILISHA
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Nikitembea bila hela kichwa kinaumq mbaya sina raha
sasa natembea na laki mbili minimum ila kipind cha nyuma mfukoni nikikosa laki 5 siwezi toka. .
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
likitokea lakutokea? au ndio ile if I dont have money I have place to borrow
ngoja nishushe kisa....

kuna siku nilikua nimetoka kwenye short course, sasa nilikua na 500 tu ya kurudi nyumbani..... sasa kwenye mfuko nilikua nimeweka makorokoro mengi, nahisi kuna mda nilikua nachomoa simu ile hela ikadondoka. Bahati nzuri niligundua kabla ya kupanda daladala, ikabidi nitembee mpaka kanisa flani hivi mbaliii, kulikua na mmama mmoja muuza mihogo nilikua namazoea nae sana, hapo kwake ni kama chimbo huaga tunakula mihogo na washkaji. Nikamuomba 500 aisee...

Sasa kutoka kwa huyo mama mpaka kituo kingine kilicho na daladala za kufika kwetu ni mbalii, kwahiyo nilitembea sana ile siku....

Sijui kwanini sikupata akili ya kumpigia mtu wa karibu anitumie hela kidogo😂
 
Last edited:

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
ngoja nishushe kisa....

kuna siku nilikua nimetoka kwenye short course, sasa nilikua na 500 tu ya kurudi nyumbani..... sasa kwenye mfuko nilikua nimeweka makorokoro mengi, nahisi kuna mda nilikua nachomoa simu ile ikadondoka. Bahati nzuri niligundua kabla ya kupanda daladala, ikabidi nitembee mpaka kanisa flani hivi mbaliii, kulikua na mmama mmoja muuza mihogo nilikua namazoea nae sana, hapo kwake ni kama chimbo huaga tunakula mihogo na washkaji. Nikamuomba 500 aisee...

Sasa kutoka kwa huyo mama mpaka kituo kingine kilicho na daladala za kufika kwetu ni mbalii, kwahiyo nilitembea sana ile siku....

Sijui kwanini sikupata akili ya kumpigia mtu wa karibu anitumie hela kidogo😂
hahaha! sasa kwenda kwa huyo mama tu ilikua nayo ni akilii... watu tunapitia jamni
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
ngoja nishushe kisa....

kuna siku nilikua nimetoka kwenye short course, sasa nilikua na 500 tu ya kurudi nyumbani..... sasa kwenye mfuko nilikua nimeweka makorokoro mengi, nahisi kuna mda nilikua nachomoa simu ile ikadondoka. Bahati nzuri niligundua kabla ya kupanda daladala, ikabidi nitembee mpaka kanisa flani hivi mbaliii, kulikua na mmama mmoja muuza mihogo nilikua namazoea nae sana, hapo kwake ni kama chimbo huaga tunakula mihogo na washkaji. Nikamuomba 500 aisee...

Sasa kutoka kwa huyo mama mpaka kituo kingine kilicho na daladala za kufika kwetu ni mbalii, kwahiyo nilitembea sana ile siku....

Sijui kwanini sikupata akili ya kumpigia mtu wa karibu anitumie hela kidogo😂
haha hakuna story yako isihusu mihogo
 
Similar threads

Yaani watu wako wa tofauti kwenye hii dunia, inakuwaje unamdalalia chajuu mtu wako wa karibu? Unapata nguvu kabisa ya kumpiga cha juu mtu anaye kwamini? Mzazi ni mtu wa kumdalalia? Mke/mume ni mtu wa kumdalalia? Rafiki na ndugu ni watu wa kuwadalalia chajuu? Kuna jamaa leo kanipigia simu...
Replies
4
Views
376
Inatokea mara chache sana kwa mwanamke kupata mimba mbili kwa wakati mmoja, au kupata ujauzito akiwa mjamzito. Wataalamu wanaorodhesha sababu tatu za kibaiolojia ambazo zinapelekea ugumu wa hilo kutokea: 1. Mayai kutozalishwa ama kutoka. Kawaida mwanamke anahitaji kutoa yai lenye afya ili...
Replies
2
Views
400
Niaje wakuu? Mnanisikia mpaka huko nyuma?🎤 Nauliza hivii unaweza kuishi saudi arabia kwa marufuku hizi au bora ubaki bongo ule bata na umeme wa mgao? 1 Matumizi ya pombe na dawa za kulevya ni marufuku kabisa, Kuna katazo la utengenezaji, uuzaji, umiliki na unywaji wa pombe nchini Saudi...
Replies
11
Views
424
Habari 👋👋👋 Kama ilivyo ada Mimi shujaaa wenu nimekuja na jambo, naomba tujadili wote sisi Wana KF Je unaweza jifunza tabia mpya mfano Kuwa mkimya, kuachana na kuwaza/kutamani mapenzi, kunywa bia, kuacha ulevi, kupendeza hata kuwa MTU wa comedy Ikiwa sio hurka yako je? Utaweza jifunza na...
Replies
19
Views
845
Habari wana kijiji nimetumia muda wangu kusetup ili kurahishisha uingiaji na kujiunga katika kijiji chetu Kijijiforums all voice in the vilage matters
Replies
3
Views
191

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom