Usiku na Maajabu yake

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Kipindi najiandaa kulala hapa

Nikafikiria baadhi ya nadharia za usiku, ila kabla ya yote nikajiuliza kwa nini siwezi kulala bila kusali, jibu tu nimuoga natafuta kisingizio

Nadharia kama tukilala roho zetu hutoka na kwenda kwa Muumba kisha hurudi, swali tukikesha je?
Mbona simu inavyoita usingizini tunashtuka

Wachawi hawa kazi yao ni kututesa usiku je ulishawahi kukutwa na maswaibu yao

Usikumwema Mungu atujalie kesho nzuri kuliko leo atupe na maisha bora
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Usiku wa saa tisa ni mda mzuri wa kuamka na kufanya maombi. Shetani na wafuasi wale huzunguka mida hii
 

Similar threads

Mambo vipi! Usalama wa mtaani kwenu ukoje? unaweza lala mlango wazi usiku bila kuhofia?
Replies
15
Views
282
Tanzania imeondoa marufuku ya usafiri wa mabasi yaendayo usiku ambayo iliwekwa miongo kadhaa iliyopita. Serikali inasema mabadiliko hayo yamekuja baada ya kuzingatia maoni ya wadau wa sekta ya usafiri, pamoja na uboreshaji wa miundombinu na usalama. Wakati akitangaza hatua hiyo bungeni, Waziri...
Replies
6
Views
289
Madaktari katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta nchini Kenya wamefanikiwa kutia damu kwa kijusi akiwa bado kwenye mfuko wa uzazi wa mama huyo. Utaratibu huo wa umakini zaidi, unaojulikana kama Uhamisho wa Ndani wa Kijusi ni hatua muhimu katika matibabu ya kijusi na utaalamu wa tiba ya ndani...
Replies
4
Views
195
  • Question Question
Naomba mnisaidie kama kuna faida yoyote sisi kama wa Tanzania tunapata kupitia mahusiano yetu na Russia ... Ili swali limekuja baada ya kuona Mh. waziri mkuu Kassim Majaliwa ameudhuria kwenye mkutano huko Russia(The Russia Africa Summit 2023).. Pia nkajiuliza kuudhuria huko kwa mh. waziri mkuu...
Replies
5
Views
390
Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Mbegu za zao hili huwa na wastani wa mafuta kiasi cha asilimia 45. Kwa...
Replies
3
Views
130

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom