Utalii

Mara nyingi tumekuwa hatuna utaratibu wa kupenda kutalii,kwakuwa serikali yetu na tanapa walishindwa kutoa policy nzuri za kutuhamasisha juu ya kupenda kutalii na kuwachia watu wa mataifa mengine.
Maybe tuliona ni pesa nyingi kutalii
Maybe sio tamaduni zetu

Hizi hapa sifa za kutali
1.kuburudisha akili
2.kupata marafiki wapya
3.kukutana na fursa mpya
4.kupata elimu mpya
5.kujumuishwa kwenye masuala yote ya utalii
6.kupata taifa letu kipato
 
Huyu ndege anaitwa blue eared King Fisher
♂_Common_Kingfisher_(Alcedo_atthis)_Photograph_By_Shantanu_Kuveskar,_Mangaon,_Maharashtra,_India.jpg
Huyu ndege ni hatari sana kuwinda samaki
Anaruka juu angani,na kuchupa mpka kwenye maji huju mdomo ukitangulia ndani ya maji na kumchukua samaki hivi
 

Attachments

  • Alcedo_atthis_-_Riserve_naturali_e_aree_contigue_della_fascia_fluviale_del_Po.jpg
    Alcedo_atthis_-_Riserve_naturali_e_aree_contigue_della_fascia_fluviale_del_Po.jpg
    27.9 KB · Views: 0
Nishawahi talii
1. Mbuga ya Tarangire
2. Mbuga ya Manyara
3 Hot springs Mto wa Mbu
4 Makumbusho Village
5. Mamba Ranch Bagamoyo
6. Makumbusho ya Taifa
7. Snake Park Arusha
8. Kaole Bagamoyo + Beach + Church

etcx
Tarangire , manyara, snake park utotoni arusha , na mapango ya amboni ,
 

Similar threads

Hifadhi ya Msitu wa Mazumbai ni eneo linalovutia linalofahamika kwa fursa zake za utafiti na utalii. Msitu huu ukiwa katika Jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga, bado haujaguswa tangu enzi za ukoloni wa Wajerumani, takriban miaka 1,800 iliyopita. Watafiti, wanasayansi, na watalii kutoka nchi...
Replies
10
Views
159
Back
Top