Utundu utotoni

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Bwana weee nakukumbuka enzi za utoto wangu shoti za umeme hazijawahi niacha salama

Nilipenda sana kutengeneza taaa, redio mota n.k

Nilishawahi kufuga samaki wa urembo kwenye dumu one day nikapata wazo kuwa inabidi niwatengenezee taa ili na wao usiku wapate kuona

Nilitafuta vifaa battery ya simu, taa na nyaya, niliunga mitambo wakati na unga na battery ni paaaa nyaya zimebaki kwenye videle 😂😂 ile siku chozi halitoki ila maumivu yake sio poa nikazichomoa waya na kuendelea na ufundi kwa tabu ola nilifanikiwa

Nilishawahi tetemeshwa na feni la chini, lilikufaga alafu kaka yangu mmoja akajifanya fundi likapona ile mama kanituma nika ligeuze kulishika tu connection successful mzee vidole na mkono vipicheza sebene moja amazing
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Bwana weee nakukumbuka enzi za utoto wangu shoti za umeme hazijawahi niacha salama

Nilipenda sana kutengeneza taaa, redio mota n.k

Nilishawahi kufuga samaki wa urembo kwenye dumu one day nikapata wazo kuwa inabidi niwatengenezee taa ili na wao usiku wapate kuona

Nilitafuta vifaa battery ya simu, taa na nyaya, niliunga mitambo wakati na unga na battery ni paaaa nyaya zimebaki kwenye videle 😂😂 ile siku chozi halitoki ila maumivu yake sio poa nikazichomoa waya na kuendelea na ufundi kwa tabu ola nilifanikiwa

Nilishawahi tetemeshwa na feni la chini, lilikufaga alafu kaka yangu mmoja akajifanya fundi likapona ile mama kanituma nika ligeuze kulishika tu connection successful mzee vidole na mkono vipicheza sebene moja amazing
Fundi mangungu kwenye ubora wake
 
Similar threads

Nikiwa mtoto nilikuwa na ndoto za kuwa daktari au engineer. Ukubwani nimekuwa mfanyabiashara, ingawa ndoto zangu za utotoni bado ziko moyoni mwangu. Nikitaka kusomea udaktari itanichukua miaka 3 ya diploma, miaka 5 degree, mwaka mmoja internship kitu ambacho naona ugumu kusoma, ilihali nina...
Replies
63
Views
2K
Ushawahi pata hisia za kutaka kutembelea sehemu au nyumba ambayo uliishi utotoni? Una kumbukumbu za kutosha kuhusu nyumba nyumba hii au sehemu ambayo umekulia? Karibu tukumbushane maisha ya utotoni na makuzi tuliyokulia hapa. Binafsi: Nimekulia Kinondoni B. Nilikuwa naona sifa sana kujiita...
Replies
29
Views
540

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom