Viashiri vipi vitaonyesha mwanamke anakupenda ila hataki kukumbia.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
@Ms eyes @Little @Leejay mtoe maoni yenu hapa....
naona mimi ntakua tofauti kidogo,,,, nikimpenda mtu kwanza kabisa ntafanya kila namna ya kumuattract(kwenye hapa nazungumzia aibu za hapa na pale,, ntafatilia viwanja vyake na mimi mara mojamoja ntakua naenda ilimradi tu anioneone),, halafu sasa akishaingia line naanza kumkwepa na hatakama nimepata namba yake sisave au nablock kabisa yani nataka yeye ndo aanze kustruggle sasa hadi anipate😊😊🙈
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
naona mimi ntakua tofauti kidogo,,,, nikimpenda mtu kwanza kabisa ntafanya kila namna ya kumuattract(kwenye hapa nazungumzia aibu za hapa na pale,, ntafatilia viwanja vyake na mimi mara mojamoja ntakua naenda ilimradi tu anioneone),, halafu sasa akishaingia line naanza kumkwepa na hatakama nimepata namba yake sisave au nablock kabisa yani nataka yeye ndo aanze kustruggle sasa hadi anipate😊😊🙈
Hii kazi ndio sifanyi
 
Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom