Wazazi wako fumbo lako..

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi za ukoo wetu. Hiki kitu kinachoitwa mila na desturi ni maagano ya matambiko ya  mizimu na  mashetani ya kuitolea kafara kila msimu waliokubaliana nayo ambayo yameridhishwa kutoka uzao hadi uzao.

Hayo maagano ni kwa ajili ya nia njema ya kulinda usitawi wa familia katika nyanja za uchumi, kuoa na kuolewa, elimu, vyeo, kuwa kiongozi katika jamii, mamlaka, n.k, n.k.

We angalia wenzio uliosoma nao au kukua nao au kucheza nao au kuajiriwa nao pamoja, au kuanza nao biashara na angalia tofaouti yao na wewe. Kama umejikuta maisha yako yamekuwa mepesi katika nyanja nilizozitaja na nyingine ambazo sijazitaja lakini unaona kwa upande wako pamekuwepo wepesi wa kufikia mafanikio na malengo uliyofikia, NAKWAMBIA kamuulize mama, Baba, Babu!, Bibi (kama bado wapo).

Wee waendee kwa upole na busara na hekima (maana haya mambo ni siri). Wadadisi kuwa: Pamoja na juhudi ninazoziweka katika maisha ebu niambie siri za mafanikio yangu. Au kwanini nakwama kila ninachotia mkono kukifanya.

ebu jiulize ni mara ngapi umekuwa kila ukifanya hakiendi sawa,kila unachokishika kwako kinageuka mkosi na laana,na ukiangalia kwa wenzako uliosoma nao au kukua nao wanamaisha manzuri kuliko yako,unabaki kujipa stress na lawama kwa watu wanaokuzunguka kuwa hao ndo sababu ya wewe kutokufanikiwa katika maisha yako.
Kuna kipindi katika maisha yangu kila nilichokuwa nashika kilibadilika laana kwangu,maisha yalikuwa tough sana hakukuwa na ahueni yeyote ile,nilikaa chini na kumlilia MUNGU sana.

basi tambua katika familia na ukoo nyingi za tanzania wanaingia maagano mbalimbali ambayo yatakuja kuonekana mabaya baada ya vizazi kadhaa kupita,inawezekana babu yako waliingia maagano ya kichawi na wakatoa kafara ya damu na wakafukia mifupa ya agano lao kwenye ardhi ya babu yako.

labda tu uwe na elimu ya kutosha au nguvu ya ziada Ili uweze kuuvuka mstari waliouweka. Kwann mizimu haitaki maendeleo jibu rahisi ni kwamba watu wakiendelea wataacha kuabudu mizimu kwa kuingiza tamaduni za kigeni maeneo hayo nguvu ya mizimu inawawahi fasta wasivuke mstari walioset tukijenga au ukitaka kujenga tu nyumba maeneo hayo unashangaa umefukuzwa kazi, umehamishwa kitengo, biashara imeyumba, mara ajali, msiba nk, umeenda kijijini na gari urudi, nk. Mfano wa standard walizoseti kupitia maagano mfano

1. Mtaa au eneo au kijiji, au ukoo nk huu Hakuna atakaesoma kama ni la saba wote ukoo mzima akijitahidi kufaulu shule dungwa mimba, anaemfadhili kafa, nk.

2. Hakuna vitu vya maendeleo ukijenga nyumba nzuri umeondoaka, huu mfano naouna mpaka wa vijijini vya Tanga na Vya mkoa wa Kilimanjaro hii barabara kuu ya Dar to Arusha.Angalia vijiji vya upande wa Tanga unakuta nyumba za udongo zimechoka, za nyasi hali duni ya maisha lakini chek upande wa pili uingiapo mkoa wa Kilimanjaro unakuta maendeleo yapo nyumba za Bati nyingi tu, nk. Means hivyo vya upande wa Tanga pana nguvu ya ucheif satanist inayotawala hapo inayozuia maendeleo.

3. Vifo vya ukoo au eneo vinavyofanana,
4. Hakuna atakaemiliki gari au chombo chochote, nk. Au unakuta eneo zima iwe mtaa, nyumba zote zimeishia kwenye lenta, au Hakuna aliyefaulu kupiga hata plasta, au mtaa mzima hauna taa za nje, ukiona hivyo tambua yupo gwiji chief satanist ameseti limit ya maendeleo au standard fulani ya maisha.
Usipofanikiwa sehemu eneo fulani miaka tambua unamilikiwa na utawala wa eneo hilo hama kajaribu eneo jingine.

Ardhi yoyote iliyoko juu ya nchi inayoumiliki wa kiroho, kuna ardhi ambazo zinamilikiwa na miungu na ardhi inayomilikiwa na Mungu aliye hai katika kristo yesu, na Mungu yoyote anayemiliki ardhi siku zote anaweka utaratibu na kanuni za kuishi ndani ya ardhi husika wegine wanasema miiko au mila lakini sisi tunaziita amri na hukumu vitu ambavyo unatakiwa kufanya au kutokufanya ili uweze kuishi katika ardhi husika

Ole wenu mnaotaka kufanya commitments za kichawi kwa wachawi. Hakuna commitment salama kwa Ibilisi, hayo ni maagano na kila baaada ya muda itawapasa kufanya agano upya, tena maagano ya sadaka. Kwa jinsi Iblisi alivyo na hila mtaanza na sadaka ndogo kama vile kutoa sadaka ya kuku, baadaye mbuzi, kisha ng'ombe, baada ya miaka mitano unaambiwa utoe sadaka ya mtoto wako, kisha mkeo, then mzazi wako, na hatimaye utadaiwa damu yako mwenyewe.

@@tuvunje maagano yote ya kichawi juu koo zetu
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
KWELI SITA(6) ZA MIZIMU

1; Mizimu ni malaika walioasi mbinguni

2;Mizimu ni wapelelezi wa shetani

3;Mizimu inauwezo wa kutoa nyaraka au taarifa ya

4;Mizimu inafanya kazi kupitia wafu.
waebrania 9;27 ''Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu''
5;Mizimu inafanya kazi kupitia waganga wa kienyeji

6;Mizimu inauwezo wa kutunza taarifa za mtu, ukoo au kabila

*Kuhusu wafu mtu akifa kuna sehemu mbili tu za kwenda.

a.Paradiso –ni mahali pa mangojeo kwa uzima wa milele.

b.Kuzimu –ni mahali pa mangojeo pa jehanamu
Mtu akifa anatengana na wewe ukiomba mtakatifu yeyote ni kuomba mizimu, ibada za wafu ni kuabudu mizimu Luka 16:22-26{
Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu. Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa. Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu.}
Ndugu zangu hakuna mawasiliano baina ya mfu na walio hai hivyo mizimu hubeba sura ya mtu aliyekufa na sauti yake na kumtokea mtu kwa ndoto au maono au hata kumtokea moja kwa moja,
Jambo jingine la kutambua ni kwamba shetani huwafanya watu waamnini kwamba hata wao wakifa watakuja kuwatokea watu na hata wakiendelea na uovu hata wakifa wapo watu watawaombea na MUNGU atawatoa kuzimu na kuwapeleka mbinguni kitu ambacho hakipo na sio kweli. Hebu tafakari viongozi wengi wakuu wa serikali kuna siku maalumu umetengwa kwa mwaka kwamba ni siku yao na kila siku hiyo ikifika tunaenda kwenye makaburi yao na kuwaombea MUNGU awasamehe. Je wale wavuvi wanaokufa baharini na hakuna hata mmoja anayejua makaburi yao yalipo na hakuna hata mmoja anayewaombea je MUNGU siku hizi anaupendeleo? Yaani ukiwa raisi wa nchi lazima uingie pema peponi maana utakua na waombeaji wengi tena watakua na juhudi kukuombea kila mwaka siku yako ikifika jambo ambalo sio la kweli, MUNGU atusaidie na tutambue kuwa muda wa kumpa YESU maisha ni sasa wala sio baada ya kufa maana tukifa tu ni kuzimu au mbinguni na sio vinginevyo. Katika Isaya 8:19 Biblia inasema
''Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong'ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?''
Ndugu zangu pazia limekwisha kupasuka hivyo tunanaingia patakatifu moja kwa moja bila kuombewa na mtakatifu wa zamani maana BWANA YESU aliondosha kile kiambaza kilichokuwapo baina ya MUNGU na wanadamu ndiyo maana kupitia yeye(YESU) tnapata uzima bure kwa njia ya imani matendo 4:12 ''Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo''.
ila uzima huo tunaupata tungali hai sio tukifa

MAGOJWA YANAYOSABABISHWA NA MIZIMU

Kuna magonjwa ya ukoo ya kuhama kutoka kizazi hadi kizazi na magonjwa haya husababisha na mizimu.
Pia kuna baadhi ya magonjwa yanasababishwa na mizimu mfano Pumu, kuumwa miguu, miguu kufa ganzi, vivimbe mbalimbali katika mwili, kutokukua kiroho, matumizi mabaya ya pesa na kutokupona magonjwa. Ndugu kimbilia maombezi na utakuwa huru mbali na uonevu huu wa shetani.

Mizimu pia hutumia manabii wa uongo kwa udanganyifu au upotoshaji, mizimu pia hutumiwa na wachawi na wapandisha pepo, Mizimu pia hutumiwa na dini za uongo
 
Urban Edmund

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 26, 2023
Messages
636
Reaction score
1,321

Umeelezea vizuri sana
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525

nimecheka sana😂 naona unawasema wakatoliki

wadini bana, nyie kwa nyie kwanza hamuelewani😂
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Maagano ya kifamilia yanasumbua sana vijana
ndio maana unaona hata waganga wanarithi
 
Similar threads

Replies
12
Views
260
Zambia. Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
Replies
5
Views
477
Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
704
Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom