What is the meaning of your name?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Poor brain

New member
Joined
Jul 3, 2023
Messages
120
Reaction score
344
Points
0
Poor brain...
Jina nilipata kipindi nasoma sec.
Evolution of man theory inasema kuwa primitive people walikua poor brain..

Sasa mi ikatokea kila mtu class akiwa anajibu kitu wrong.
Huwa nasema ""your poor brain"" alafu napiga makofi

Till hapo jina likawa hivo tuu poor brain.. kutokana na jina hilo nikawa ni mtu wa kuuliza na kujibu funny answers japo ni correctly ila ujibuji wake ulikua funny sana🤓🤓🤓🙌🙌
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Poor brain...
Jina nilipata kipindi nasoma sec.
Evolution of man theory inasema kuwa primitive people walikua poor brain..

Sasa mi ikatokea kila mtu class akiwa anajibu kitu wrong.
Huwa nasema ""your poor brain"" alafu napiga makofi

Till hapo jina likawa hivo tuu poor brain.. kutokana na jina hilo nikawa ni mtu wa kuuliza na kujibu funny answers japo ni correctly ila ujibuji wake ulikua funny sana🤓🤓🤓🙌🙌
You were the comedian of the class👋
have been there
 
Urban Edmund

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 26, 2023
Messages
636
Reaction score
1,321
Points
0
yani sina hata sababu ila nalikubali sana hili jina
 
Similar threads

Wasalaam Kukiwa na nyimbo ina mashairi au jina lake likihusiana na jina lako basi utahisi kama nyimbo hii imeandikwa kwa ajili yako. Hebu tupia mistari au shairi lenye jina lako hapa What are some songs or poem with your name in the lyrics?
Replies
14
Views
619

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom